Umempigia mpenzi wako?

Umempigia mpenzi wako?

that manzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
385
Reaction score
1,246
Habarini za jioni,

Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi?

kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri kikazi kumbe kaenda kuoa kafanya kuona kwenye status ya mtu ambae anamjua (huyo mtu kampost bi harusi kumpongeza ) mdada ndo anaona bwana harusi ni babe wake aliemuaga anasafiri

Wapigieni wapenzi wenu msisubiri kupata mishituko….

Uzi tayari

99ead247-c8b5-45b5-93d0-f7bd2fbda112.jpeg
 
Kani nyamazia me nika futa number [emoji725]
 
Habarini za jioni,
Leo ni jumamosi harusi ni nyingi sana 😂. Wenye mahusiano yenu, je umempigia mpenzi wako leo unajua yuko wapi?

kuna group nipo mdada analia mwanaume wake kamuaga anasafiri kikazi kumbe kaenda kuoa kafanya kuona kwenye status ya mtu ambae anamjua (huyo mtu kampost bi harusi kumpongeza ) mdada ndo anaona bwana harusi ni babe wake aliemuaga anasafiri

Wapigieni wapenzi wenu msisubiri kupata mishituko….

Uzi tayari
Mhuuuu, kazi ipo.....alisema yupo kwenye kikao.
 
VAR imefanya chakeup vizuri sana anatumia jina zuri zuri na avatar nzuri kumbe ni mbibi alafu kavaa gauni la kinyakyusa?
kibibi cha kinyakyusa kwani kuna shido
 
Back
Top Bottom