Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?


Haya ndiyo majina niliyo save majina ya wapenzi wangu, sina mengine hao mengine nitakuwa nasingiziwa..

My Queen
Heart breaker
Only my heart
Queen Aisha
Emirate
Minar jnr
CRDB
KCB
NMB
M-Pesa
Tigo
Sa100 *(samia)*
Furushi
Halichachi
Halichachi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we kiboko kwa majina
 
Daaah yaan King akijua huyo Kiboko yako aiseee atazimia au itambidi ajiongeze aisee palipopungua mpaka akapata jina la yule mnyama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kiboko yangu kweli manake kaniweza mama wa watoto 6 silazima awe kiboko yangu? lol
 
Kama ni mtu anayenipenda sana na kunijali (msichana /mwanamke) hua nampa cheo cha juu kabisa kwenye phonebook yangu.
..Hua namsevu
>>Mama Mond au
>>Mama Ray.
Hapo ujue nakupenda kiwango cha makinikia..
 
Back
Top Bottom