Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

Umemsave jina gani mpenzi wako kwenye simu?

Kama alishapewa jina na wazazi wake mimi ni nani hadi nibadilishe? [emoji135]
 
Wakwangu nimewasev kama ifuatavyo

Makinikia

Mwaka mmoja harudi mtu bungeni

Mimi ndio spika

Bashite

Haijawahi kumwacha mtu salama

Wanaume

Acacia

Bulyanghulu

Baby

Honey

Switi baby

Naombeni mniombee

Ili kusudi

Mzalendo

KATA

Wanyonge

Mpiga dili

Hati ya dharura

Teuzi / utenguzi

Zero. Brain
 
Bora nipite mdogomdogo maan tusio na wapenzi hatuna cha kujib..
 
Back
Top Bottom