Wala sikujiuliza sana mara moja nikafuta namba yake na yangu..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima uugue. Hapo unajiulza labda sura yako inafanana na kobe
DC kibitiAsalaaam
Mimi wangu nimemsave jina lake kamili vipi wewe umemsave jina gani mpenzi,mke au mchumba wako?
Huyo halichachi ni mke wa mtu, yaani namchukua kama mpenzi wangu yaani sina mpango wa kuja kumuoa nimuendelezo wa kujipingia tu halichachihilo la mwisho kwann umemsave ivo??
Huyo halichachi ni mke wa mtu, yaani namchukua kama mpenzi wangu yaani sina mpango wa kuja kumuoa nimuendelezo wa kujipingia tu halichachihilo la mwisho kwann umemsave ivo??
Kumbe ushampata yule mchumba uliyekuwa unamtafuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo naona rahaππ Dah sio vzuri hvyo