Umemsave jina gani?

Azimie nani wewe mang'oma..?πŸ˜€
 
Nikiliweka hapa jina lake mtaiga ila jueni ni jina tamu tu the name started to call itself in my head up to my hand and now it's a stamp! Nikifikia kukuita hilo jina basi jua ile nyonga mkalia ini umeikalia kwelikweli...🀣 But the name start with latter L.
 
We kibungo nini wataka kujikuta spesheli hapa?
 
Basi kwa furaha ya Chelsea kushinda my babe Ccy pls niandikie mimi 'yo fellow fan πŸ˜‚
 
Hahaha hii ni kweli
Unaweza msevu jina zuri halafu akikuudhi unaweka jina lake halisi .
Aiseee [emoji1787]
 
Dah.... Lakuchumpa? 🀣🀣🀣😜
 
Hahahaha
 
Bado niko singali..siku akipatikana wa ubavu wangu,Hakyamama tena jina nitakalomsave,ardhi na mbingu lazima vitetemeke.wewe mtoto wa mutu fanya fanya basi huko ulipo ukuje huku fasta na wewe...loh
 
Bado niko singali..siku akipatikana wa ubavu wangu,Hakyamama tena jina nitakalomsave,ardhi na mbingu lazima vitetemeke.wewe mtoto wa mutu fanya fanya basi huko ulipo ukuje huku fasta na wewe...loh
nambie malkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…