LifetimeUkiachana na honey au jina lake la ukoo ume msave jina gani
Huyu natumia FYI
Na zile xxx wamezifungia Sasa fanya hima umpate.Bado niko singali..siku akipatikana wa ubavu wangu,Hakyamama tena jina nitakalomsave,ardhi na mbingu lazima vitetemeke.wewe mtoto wa mutu fanya fanya basi huko ulipo ukuje huku fasta na wewe...loh
King kong
King kobra
Wish to see her picture.. what a name..!
Kwaheri.
Unaniachaje sasaKwaheri.
my mpare,[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Sisi wadada tuko hivi, mwanzoni utamuita jina lake eg john, akiongeza mapenzi ma care kibao jina linaseviwa kimahaba eg my love , asipotoa huduma jina linasebiwa eg my mpare, asipo pokea simu siku nzima, KIVURUGE
Nipe namba zake nikusaidie.Unaniachaje sasa
Utamuweza?[emoji23]Nipe namba zake nikusaidie.
Duu!!!! hadi wewe??Padre
Nipe namba dunia ya mawezekano hii kama imewezekana kulipa tozo zote hizi yeye nani mpk nimshindwe!Utamuweza?[emoji23]