Umemsave jina gani?

Umemsave jina gani?

Bado niko singali..siku akipatikana wa ubavu wangu,Hakyamama tena jina nitakalomsave,ardhi na mbingu lazima vitetemeke.wewe mtoto wa mutu fanya fanya basi huko ulipo ukuje huku fasta na wewe...loh
Na zile xxx wamezifungia Sasa fanya hima umpate.
 
Wish to see her picture.. what a name..!
giphy.gif
 
Sisi wadada tuko hivi, mwanzoni utamuita jina lake eg john, akiongeza mapenzi ma care kibao jina linaseviwa kimahaba eg my love , asipotoa huduma jina linasebiwa eg my mpare, asipo pokea simu siku nzima, KIVURUGE
 
my mpare,[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Back
Top Bottom