realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 #1 Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda. Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao. Mimi nime msave π wewe je, umemuandika vipi?
Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda. Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao. Mimi nime msave π wewe je, umemuandika vipi?
joseph_mbeya JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,123 Reaction score 2,935 Sep 3, 2024 #2 jina lake alilopewa na wazazi wake
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,459 Reaction score 6,466 Sep 3, 2024 #3 nasoma comments kazi kweli kweli/jobtruetrue
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #4 joseph_mbeya said: jina lake alilopewa na wazazi wake Click to expand... π
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #5 kipanga85 said: nasoma comments kazi kweli kweli/jobtruetrue Click to expand... π
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Sep 3, 2024 #6 Nkipata demu mpya Nampa simu asave mwenyewe tukizinguana author mwenyewe naingia kazini kuhariri
RedPill Prophet JF-Expert Member Joined Apr 25, 2023 Posts 1,408 Reaction score 3,564 Sep 3, 2024 #7 joseph_mbeya said: jina lake alilopewa na wazazi wake Click to expand... Wewe ni mwanaume. Hongera sana.
joseph_mbeya said: jina lake alilopewa na wazazi wake Click to expand... Wewe ni mwanaume. Hongera sana.
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 Sep 3, 2024 #9 Sijasevu namba yake
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #10 Huo Yuanjia said: Hunyπ Click to expand... ππ»ππ»
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #11 MFALME WETU said: Sijasevu namba yake Click to expand... Kwa nini?
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #12 Mpaji Mungu said: Nkipata demu mpya Nampa simu asave mwenyewe tukizinguana author mwenyewe naingia kazini kuhariri Click to expand... π
Mpaji Mungu said: Nkipata demu mpya Nampa simu asave mwenyewe tukizinguana author mwenyewe naingia kazini kuhariri Click to expand... π
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Sep 3, 2024 #13 Nmemsave jina lake halisi
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #14 Mbaga Jr said: Nmemsave jina lake halisi Click to expand... Liongezee thamani basi π
MFALME WETU JF-Expert Member Joined Feb 1, 2021 Posts 4,071 Reaction score 10,028 Sep 3, 2024 #15 realMamy said: Kwa nini? Click to expand... Mambo mengi muda mchache
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Sep 3, 2024 #16 Jina lile atalo niambia mara ya kwanza
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Sep 3, 2024 #17 Cylinder head
MAKANGEMBUZI JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 2,670 Reaction score 7,655 Sep 3, 2024 #18 1.mtu 2.tapeli
H Heyyouyoungman Member Joined Mar 28, 2024 Posts 67 Reaction score 227 Sep 3, 2024 #19 Nimefuta namba yake ili niikalili... Maana tuna miaka miwil na zaid tangu tufahamiane ila sikuwah kukalili namba yake
Nimefuta namba yake ili niikalili... Maana tuna miaka miwil na zaid tangu tufahamiane ila sikuwah kukalili namba yake
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 3,925 Reaction score 8,853 Sep 3, 2024 Thread starter #20 Pendaelli said: Jina lile atalo niambia mara ya kwanza Click to expand... π