Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Yamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada?
Au kamtajia UTI kwa sababu zingine tu?