Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa jamii forum itajuaje kama ni kweli ama la, mumesha ifanya jamii forum ni wapiga ramli sioYamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada?
Au kamtajia UTI kwa sababu zingine tu?
Wakishashiba viporo vya wali maharage hua wanaona humu ndio pa kucheulia[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa jamii forum itajuaje kama ni kweli ama la, mumesha ifanya jamii forum ni wapiga ramli sio
Wakiambiwa watumie kinga wanasema haina ladhaSaa Moja watu mmeanza na UTI sugu. [emoji1787]
Na hivi ndivyo viibilisi vyenyeweWakiambiwa watumie kinga wanasema haina ladha
π π π Mantain hisia zako ,humu wengi darasa la nneWakishashiba viporo vya wali maharage hua wanaona humu ndio pa kucheulia
Mawardat ππSi ampe au nae anaitaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Mawardat [emoji23][emoji23]
πushaifanya jpili yangu kuwa njema mapema kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Hiyo pesa kaila. huyo haumwi wala nnYamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada?
Au kamtajia UTI kwa sababu zingine tu?
Jamii Forum haimiliki na wala haita miliki U.T.I π₯΄π₯΄π₯΄Yamemkuta jamaa huko mtaani.
Kamtongoza kakubali, siku mbili hazijapita binti kasema anaumwa kamsaidia pesa akapime. Baadaye kaambiwa ni UTI, binti akaomba pesa ya sindano kamsaidia pesa kidogo.
Hii ni trick ya binti kuombea pesa kwamba si mgonjwa wa UTI au ni kweli anaumwa anahitaji msaada?
Au kamtajia UTI kwa sababu zingine tu?
Itakuwa nae anaitaka,anaionea wivu dozi itafaidi[emoji23][emoji23]ushaifanya jpili yangu kuwa njema mapema kabisa