Halafu weweeeeee!!Gaga ananifaa kwa sasa,natanguliza shukrani
Nimemwaga thanx na kule na like ya kwanza.... bibi ana raha sana kuzeeka na weweHizo zote ngapi sijui....... zinafunikwa na huu mfagio hapa.....
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-ndoa-ahsante-sana-mke-wangu.html?highlight=
Nigongee senksi na Likes....za kumwaga...
kizuri kula na nduguyo Babu,rejea sheria mama no 3Khaa!yaani kavukavu namna hii unaingia kwenye hema la babu?Chagua mwingine kati ya wale 99 waliosalia.
sema mteule,usiogope sitakuharibia maisha hata babu yako anajuaHalafu weweeeeee!!
Oups...I thought mi ndo nna raha ya kuzeeka naye....LOLNimemwaga thanx na kule na like ya kwanza.... bibi ana raha sana kuzeeka na wewe
Wewe una raha nyingi yeye moja tuOups...I thought mi ndo nna raha ya kuzeeka naye....LOL
Mkuu una maanisha anaeacha asilaumiwe? lawama lazima ziwepo coz kuna upande wa pili ambao umeathirika na kitendo chako, na kila mtu ana haki ya kujisikia au kufanya afanyalo ili ajisikia au ujumbe ukufikie kwamba kaumia kiasi gani, then utampa reason kazi inabaki kwake, kwa mwenye upeo atafurahi kwamba umemwambia umemchoka kwa sasa, ila king'ang'anizi ndio atakuja na single ya kujiua
Na hiyo raha yake moja ni ipi? Na zangu nyingi ni zipi?Wewe una raha nyingi yeye moja tu
Wewe unaonekana mharibifu sana, unataka kuniharibia halafu nijiue au ninisema mteule,usiogope sitakuharibia maisha hata babu yako anajua
Si kuwa na wewe wakati wewe una attached files kibaoNa hiyo raha yake moja ni ipi? Na zangu nyingi ni zipi?
Mkuu asilimia moja ni ndogo sana, labda nibaki na 20 nimpe 80Ukifall in love basi penda 99% halafu reserve hiyo 1% kwamba anything can happen...hii itafanya uwe na bullet-proof soul kwani hata ukitoswa hutafikia hatua ya kuwa mbendembende. Lakini ukiingia 100% ndio hayo ukitoswa basi unakimbilia kujiua
Hey! your back, missed youMhhhh...
Hey! your back, missed you
should i read between the lines?
You miss his back?
Omg!
.....Hahahaha.... thats what I meant by "BETWEEN THE LINES" lol!vice versa language...lol
so may be she meant my infront??????lol
Mkuu wewe ni mwandishi? Kama sio basi ningependa kukufahamisha kuwa ninaamini una kipaji cha uandishi. Hongera sana.
Kwa bahati nzuri nitawaachia ma-alwatan watoe mawazo yao katika hili.