Umeniharibia maisha! ...what?

Umeniharibia maisha! ...what?

Mkuu una maanisha anaeacha asilaumiwe? lawama lazima ziwepo coz kuna upande wa pili ambao umeathirika na kitendo chako, na kila mtu ana haki ya kujisikia au kufanya afanyalo ili ajisikia au ujumbe ukufikie kwamba kaumia kiasi gani, then utampa reason kazi inabaki kwake, kwa mwenye upeo atafurahi kwamba umemwambia umemchoka kwa sasa, ila king'ang'anizi ndio atakuja na single ya kujiua

Ukifall in love basi penda 99% halafu reserve hiyo 1% kwamba anything can happen...hii itafanya uwe na bullet-proof soul kwani hata ukitoswa hutafikia hatua ya kuwa mbendembende. Lakini ukiingia 100% ndio hayo ukitoswa basi unakimbilia kujiua
 
Mkuu wewe ni mwandishi? Kama sio basi ningependa kukufahamisha kuwa ninaamini una kipaji cha uandishi. Hongera sana.
Kwa bahati nzuri nitawaachia ma-alwatan watoe mawazo yao katika hili.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Mkuu asilimia moja ni ndogo sana, labda nibaki na 20 nimpe 80
 
Mbu kwa kutumbua majipu ya moyo.....Dah ngoja nizidi kutafakari na kufunguka.
 
I blv nthng is worth taking our precious lives. Betrayal, heartbrks a suposed 2 mk us stronger n beta. Whereva u thnk f suicide b'cz f pipo wh dnt nid u, thnk f thoz wh nid u! Nd thnk abt wat ure sngle lyf cud do 2 mk th wrld a beta place. Lastly thnk abt wat u cud do 4 u, ure goals, dreams, ambtns u had evn be4 u met th traitor! Thnx.
 
Mkuu wewe ni mwandishi? Kama sio basi ningependa kukufahamisha kuwa ninaamini una kipaji cha uandishi. Hongera sana.
Kwa bahati nzuri nitawaachia ma-alwatan watoe mawazo yao katika hili.

hapana kaka, mimi ni mfanyabiashara sokoni kariakoo (shimoni,) elimu yangu maisha na dunia.
Wanasema; 'kizuri kula na mwenzio,'...napendelea kubadilishana mawazo muda unaporuhusu.
Am humbled , nakusukuru sana kaka.
 
Back
Top Bottom