Umeniita tu Bulls Park

aibu ya wote
Mwanaume aibu kushindwa mlipia demu wake, akigoma walipia kundi sisi huwa tunamuona Shujaa!..Akiwalipia tunamuona lofa ni sheria ndogo tu, unaleweshaje kundi, unless wawepo na frends zako mkimaliza kila mmoja anabeba mwenzie!! [emoji2]
 
Haya mambo ya committee nilishayakataa siku nyingi, nitakulipia wewe tu hao wengine watapambana na hali zao..

Nimekuita wewe tu sijakuita uje na timu yako, Tuheshimiane pesa haiokotwi tu kizembekizembe
 
Uzuri wa wanawake wa hivi unawala wote kila mmoja anakwambia usimwambie mwenzie
 
Mbona hao wanamuhurumia sana...

Hapo unakuta wanapiga savanna,smirnoff,Windhoek na drostdy hof......wanaagiza na ubavu wa mbuzi
 
ipo pembeni ya barabara ukipita mchana huwezi kujua kuna yanayoendelea usiku
 
I will bring my fwend they will f*** them off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…