Umeniita tu Bulls Park

Umeniita tu Bulls Park

aibu ya wote
Mwanaume aibu kushindwa mlipia demu wake, akigoma walipia kundi sisi huwa tunamuona Shujaa!..Akiwalipia tunamuona lofa ni sheria ndogo tu, unaleweshaje kundi, unless wawepo na frends zako mkimaliza kila mmoja anabeba mwenzie!! [emoji2]
 
Haya mambo ya committee nilishayakataa siku nyingi, nitakulipia wewe tu hao wengine watapambana na hali zao..

Nimekuita wewe tu sijakuita uje na timu yako, Tuheshimiane pesa haiokotwi tu kizembekizembe
 
Uzuri wa wanawake wa hivi unawala wote kila mmoja anakwambia usimwambie mwenzie
 
ipo pembeni ya barabara ukipita mchana huwezi kujua kuna yanayoendelea usiku
 
I will bring my fwend they will f*** them off
 
Back
Top Bottom