Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume aibu kushindwa mlipia demu wake, akigoma walipia kundi sisi huwa tunamuona Shujaa!..Akiwalipia tunamuona lofa ni sheria ndogo tu, unaleweshaje kundi, unless wawepo na frends zako mkimaliza kila mmoja anabeba mwenzie!! [emoji2]aibu ya wote
hapa survey njia ya chuo kikuu cha ardhi now kuna bendi mziki amazingIvi bull's park ipo wapi?
Anhaa nimeikumbuka sasa Opp. Mcity Mall (Gate)hapa survey njia ya chuo kikuu cha ardhi now kuna bendi mziki amazing
Ok. Poa poa kiongoz nimepasoma ntacheck weeknd moja. Leo nimetoka job nko kitaa Niko broke Af. [emoji26]hapana kwa mbele zaidi mkuu
Ok. Poaa poa kiongoz nimepasoma ntacheck weeknd moja. Leo nimetoka job noo kitaa Niko broke Af. [emoji26]hapana kwa mbele zaidi mkuu
poa man, kitaa wapi, kama karibu njoo upige hata 3Ok. Poa poa kiongoz nimepasoma ntacheck weeknd moja. Leo nimetoka job nko kitaa Niko broke Af. [emoji26]
Kitaa TMK. Last week nilikua sehem inaitwa Survoy, nilipiga vitu sanapoa man, kitaa wapi, kama karibu njoo upige hata 3
Ahsante ila kuna kampani ya washkaaj zangu ipo Masaki, ukihitaj nicheckpoa man, kitaa wapi, kama karibu njoo upige hata 3