Umeniita tu Bulls Park

Umeniita tu Bulls Park

Hapo ni kuharibu mbona mapema tu kikao kinahairishwa,
Siwezi kuwa msitaarabu kwa mtu ambaye hakunifanyia ustaarabu wa kunitaarifu kuwa anakuja na timu,,

Hahaha una hatariii
 
Hahaaha ungekuwa wewe usingekimbia kweli?
Hahahaa, kama nipo vizuri sikimbii, ila ntahakikisha nawatamanisha hao rafki zake kuntafuta next time. Iliwahi ntokeaga hii pale micassa river side ila kwa bahat nzuri nlkua niko vizuri, nlivimba balaa. Tulivyoachana tuu nkakuta texts kadhaa za namba mpya
 
Uwe na Huruma
hahaa mbona wew huruma huna...kunijia na mob lote hilo kam kuna kitchen part iliiwe nini ??
.,..kama unahuruma kweli naomba ubadilishe hiyo avatar yako "" maana na jihisi kukuhonga honga tu"": kahela kenyew nilicho nacho cha mkopo "" usije 7bisha dar niione kama Guantanamo
 
Najiona mi na rafiki zangu chuo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tulikua tunatembea kama kumbikumbi.
 
Kuna mwenzako aliitwa akaja na Platoon nzima, matokeo yake wakanunuliwa popcorn sahani 4 washee wote!!...sasa wewe na hicho ki team cha basket daraja la 3 sijui kama unatisha saana!!.
 
Kuna mwenzako aliitwa akaja na Platoon nzima, matokeo yake wakanunuliwa popcorn sahani 4 washee wote!!...sasa wewe na hicho ki team cha basket daraja la 3 sijui kama unatisha saana!!.

hahahaha popcorn tenaa nazimwaga unaona
 
Back
Top Bottom