Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa... Ilikua enzi za Uncle (juz juz tu apa) Nilitoka kula bonus pay, part time ya week.Kumbe ujasiri unao!Nadhan ilikuwa enzi Za JK
Hahahaa, kama nipo vizuri sikimbii, ila ntahakikisha nawatamanisha hao rafki zake kuntafuta next time. Iliwahi ntokeaga hii pale micassa river side ila kwa bahat nzuri nlkua niko vizuri, nlivimba balaa. Tulivyoachana tuu nkakuta texts kadhaa za namba mpyaHahaaha ungekuwa wewe usingekimbia kweli?
hahaa mbona wew huruma huna...kunijia na mob lote hilo kam kuna kitchen part iliiwe nini ??Uwe na Huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Uzur ukiweza kulipa hyo biill unaweza kupita kuanzia Centre, SG,SF,PF na PG na ukachukua ubingwa
Wanakuaga wakarimu sana hao ukicheza nao vzur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Weee sio kama tulivyokua sisi. DaaahWanakuaga wakarimu sana hao ukicheza nao vzur
Upendo wenu ni exceptional, ila hutakiw kumtoa hata mmoja from the list unawaacha mpka siku igeukeWeee sio kama tulivyokua sisi. Daaah
Maisha ya chuo yalikua rahaaa. Sisi tulikua tukishamaliza kunywa tunabebana wote kurudi hostel
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Upendo wenu ni exceptional, ila hutakiw kumtoa hata mmoja from the list unawaacha mpka siku igeuke
This time ukiitwa bado utakuja kwa style ya chuo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
nawaacha muagize afu hapo bulls kuna ule mlango pembeni ya choo cha nje, itabaki historiaKama kawaida ya wale wategemea Boom!Umejipanga,umeniita tu weekend my njoo tule nakuja na first 5 na substitution(Kwa sie wapenzi wa basketball)!Jasho lazima likutoke baada ya Bili kuletwa View attachment 722643
NimeulizaAkhuuu
Sasa hata ukimwaga aibu yako yangu![emoji23]hahahaha popcorn tenaa nazimwaga unaona