Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Nimesikia sauti huku niliko
Mashairi haya yameletwa na ndege chiriku
Ameyaimba nje pembezoni mwa dirisha langu
Naita rabekha.... Mi ni mzima moyo wangu wachechemea
Umechoka kutanga tanga sasa umepata pa penzi kuhemea
Nlikuwa kama nmepigwa ganzi
Kwa maumivu na uchungu....

Moyo wangu sasa umefarijika kabisa kwa amani na mapenzi shanta shanta
Chezea Gudume wewe shababi haswa ,muda si mrefu nakusajili kwenye listi ya wanaume wa mkoani,dar byee
 
Naona unanigawia buree Gudume sio kwa sura lakeee lile kwenye Avatar [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yule sna uhakika kama ni msweet kama
Kama ni mzur usje nipa wassira baby
Sikupi kitu cha hovyo mimi na keshakupokea kwa mwili wote
 
Ujumbe wake nimeupata... Mimi mtu wa utamaduni simpigi mwanamke kwa fimbo...nampiga kwa ukuni.

Mwambie mi nmejaa tele... Mpaka namwagika. Nimeupokea ujumbe wake kwa mikono miwili...
Naona bahati ya mtende imekuangukia Gudume
 
Bila shaka kazipata aiseee. We G ndio ujue sasa mama Sabrina hajiwezi huko aliko. Teh teh.

Kupenda na kupendwa siku zote kuna raha zake jamani lol sababu maneno matamu ya dunia nzima lazima kupeana hata yale mengine ambayo unaweza yawaza mara kumi kumi ila mwisho wa siku tunayaona yanatustahili.

Japokuwa siku kikinuka sasa. [emoji40]
Siku kikinuka inakuwa kinyume chake kuna mtu ataambiwa anakibamia namwingine ataambiwa anabwawa hahahahaha..
 
Siku kikinuka inakuwa kinyume chake kuna mtu ataambiwa anakibamia namwingine ataambiwa anabwawa hahahahaha..
Mimi hata nikichana na mtu sizungumzii maumbile kabisa maana najuanhata vibamia vinanitosha
Halaf ujue nini inatofautiana sana kuzidisha na kujumlisha
 
Back
Top Bottom