Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #121
Chezea Gudume wewe shababi haswa ,muda si mrefu nakusajili kwenye listi ya wanaume wa mkoani,dar byeeNimesikia sauti huku niliko
Mashairi haya yameletwa na ndege chiriku
Ameyaimba nje pembezoni mwa dirisha langu
Naita rabekha.... Mi ni mzima moyo wangu wachechemea
Umechoka kutanga tanga sasa umepata pa penzi kuhemea
Nlikuwa kama nmepigwa ganzi
Kwa maumivu na uchungu....
Moyo wangu sasa umefarijika kabisa kwa amani na mapenzi shanta shanta