Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #81
Beira jamani kwa mbitiyaza kafa kaozaAcha bwana..... beira mishe za kusoma London ziliishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beira jamani kwa mbitiyaza kafa kaozaAcha bwana..... beira mishe za kusoma London ziliishia wapi?
Duh![emoji30]Mario ni mwanaume anaye lelewa na mwanamke lakin ben 10 ni kivulana chenye mwanamke anaye kizid umri au miaka
Mimi sio mario maana silelewi lakin nina baby wangu mbiti ananizida miaka maana mimi nina miaka 20 lakin yeye ana miaka 46
Hahaah we jossiest unataka we kibn 10 changu eeMama Sabrina mbinafsi sana aseee!! Angekuja dar ndio wanaume wakunjaji tupoo!!
Mcheki pm[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nitaanzaje jaman mm naogopa
AhhahahahaAhahaaa mkuu zilikwama maana LONDON nisingepiga misele hivyo nikaona bora nitulie hapa hapa kwa nyerere
Tunaungana nini?Mnaungana eti
Asante hata mimi nakukubali sana shemu wangu wa ukweliSawa shemeji yangu mi ndio maana nakukubali sana
Sio Gudume ni Mr. GGudume Akisoma hapa lazima akutafute. Maana sio kwa sifa hizi
Hahahaaa umejuajeBeira jamani kwa mbitiyaza kafa kaoza
Umkune vizuri dada yanguAsante hata mimi nakukubali sana shemu wangu wa ukweli
Mkuu niaje naona miguno tuDuh![emoji30]
Kunisema sikunjwi vizuri usimtetete ivuga maana kachelewa kunipataTunaungana nini?
TehBeira jamani kwa mbitiyaza kafa kaoza
Keshakubali na karidhikaTeh
anabemendwa lakini
Aseeh.. kwa hiyo nawe unataka ufe kwa G.Keshakubali na karidhika
Nimerejea ulipomsifia Gudume (kihisia) kuwa atakuwa mtamu. Ndo maana nikasema vileSio Gudume ni Mr. G
Gudume ni wa Demiss
Nimekubali kabisa nife nioze tuAseeh.. kwa hiyo nawe unataka ufe kwa G.
Safi aseee, nilikua sijui tofauti ya mario na ben 10Mkuu niaje naona miguno tu
Haya bhana kila kheri.Nimekubali kabisa nife nioze tu
Naona unanigawia buree Gudume sio kwa sura lakeee lile kwenye Avatar [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio Gudume ni Mr. G
Gudume ni wa Demiss