Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Ha ha haha..... He he he he.... Hiii...hi.hi....aisee...


Bila shaka kazipata aiseee. We G ndio ujue sasa mama Sabrina hajiwezi huko aliko. Teh teh.

Kupenda na kupendwa siku zote kuna raha zake jamani lol sababu maneno matamu ya dunia nzima lazima kupeana hata yale mengine ambayo unaweza yawaza mara kumi kumi ila mwisho wa siku tunayaona yanatustahili.

Japokuwa siku kikinuka sasa. [emoji40]
 
Nimesikia sauti huku niliko
Mashairi haya yameletwa na ndege chiriku
Ameyaimba nje pembezoni mwa dirisha langu
Naita rabekha.... Mi ni mzima moyo wangu wachechemea
Umechoka kutanga tanga sasa umepata pa penzi kuhemea
Nlikuwa kama nmepigwa ganzi
Kwa maumivu na uchungu....

Moyo wangu sasa umefarijika kabisa kwa amani na mapenzi shanta shanta



Mwache GuDume wangu mimi
 
Ujumbe wake nimeupata... Mimi mtu wa utamaduni simpigi mwanamke kwa fimbo...nampiga kwa ukuni.

Mwambie mi nmejaa tele... Mpaka namwagika. Nimeupokea ujumbe wake kwa mikono miwili...

Demiss kafa kaoza kwako kasema nisaidie kukuambia anakuogopa
Anaoensa swaga zako zinamuua yaan ujiongeze eti
 
Ujumbe wake nimeupata... Mimi mtu wa utamaduni simpigi mwanamke kwa fimbo...nampiga kwa ukuni.

Mwambie mi nmejaa tele... Mpaka namwagika. Nimeupokea ujumbe wake kwa mikono miwili...
Atapita hapa akusikie atafurahi sana anataka umpige ukuni peke yake yaan utosheke na yeye tu
 
Back
Top Bottom