Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Ha ha haha..... He he he he.... Hiii...hi.hi....aisee...
Ho ho ho... hu hu hu hu. Aiseeee.

Kaka GuDume ulivyoandika hivi umenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi lol.

Davet yale ya siku ile yamejirudia leo, nimecheka sana lol.
 
Siku kikinuka inakuwa kinyume chake kuna mtu ataambiwa anakibamia namwingine ataambiwa anabwawa hahahahaha..
Umeonaeee. Yaani unaweza kaa chini na kujitizama pasi kujimaliza.

Ila hii kitu inaitwa mapenzi wacha nayo kabisa aisee.
 
Ngoja nikunje virago vyangu, nikalale, kumeshakucha!
 
najua kuna jamaa zagu roho itawauma sana kuona mtoto mrembo amenizimikia sababu ya stories zangu na sounds za mitaani. akija kupata na mikuno yangu ndo kabisa atazikwa kwangu.... wacha wenye vijiba vya roho hali hii iwatese.
Naona bahati ya mtende imekuangukia Gudume
 
GuDume Gwa Mbegu, GuDume Gwenu, Gudume gwa Simba gunayepanda mnyama yoyote. aka baradhuli, aka bazazi, aka mzee wa utamaduni, aka Gudume Kapita Hapa. aka mzee wa chapa, aka... Mkwezi, aka Msuguaji.... mama nakwambia kama mwanaume umepata.... yaani hapo kawaambie tu kwenu kuwa yule mwanaume uliyekuwa unamtaka na unamtafuta sasa amepatikana. mwanaume wa shoka. aliyevuka maji ya shingo bila korodani kuloa hata chembe...

Chezea Gudume wewe shababi haswa ,muda si mrefu nakusajili kwenye listi ya wanaume wa mkoani,dar byee
 
najua kuna jamaa zagu roho itawauma sana kuona mtoto mrembo amenizimikia sababu ya stories zangu na sounds za mitaani. akija kupata na mikuno yangu ndo kabisa atazikwa kwangu.... wacha wenye vijiba vya roho hali hii iwatese.
[emoji8][emoji8][emoji8] mimi sisemi nanyamaza kimya najua we hataree
 
GuDume Gwa Mbegu, GuDume Gwenu, Gudume gwa Simba gunayepanda mnyama yoyote. aka baradhuli, aka bazazi, aka mzee wa utamaduni, aka Gudume Kapita Hapa. aka mzee wa chapa, aka... Mkwezi, aka Msuguaji.... mama nakwambia kama mwanaume umepata.... yaani hapo kawaambie tu kwenu kuwa yule mwanaume uliyekuwa unamtaka na unamtafuta sasa amepatikana. mwanaume wa shoka. aliyevuka maji ya shingo bila korodani kuloa hata chembe...
Ahahahahahahahahahah hapo tu ndipo wanipa raha,fanya urudi haraka twende kule tukapatr upepo wa raha tuone dunia yetu sisi,kweli nimepata aisee nani anaeweza kuvuka maji kama wewe halaf korodan zisilowane ni wewe tu peke yako
 
Back
Top Bottom