Umenitoka Moyoni..

Umenitoka Moyoni..

Pumzika kidogo..manake hayo maneno yangekua mkuki mbona tungekua tunaongelea mengine...
 
Kupendana kunaendana na kusaidiana. sasa kama ana shida unataka azipeleke wapi?

kusaidiana ni muhimu lakini isiwe upande upande mmoja tu... halafu kero zaidi ni hiyo kwamba mtu akikupigia au kutext hakuna kitu kingine anachoongea zaidi ya kupiga mzinga.... hebu hizi shida tusizivalie kibwaya bana
 
kuzaliwa mwanaume na kazi ngumu kweli, pesa wautafuta kwa shida na kuituimia kwa shida.
hakuna furaha.

NB, dada zangu fahamuni unapoona mwanaume anakuhesabia misimbazi huku akitabasamu sio kwamba anafurahia, moyon ana uchungu, msipige mizinga usiyokuwa na ulazima mnatuvunja moyo.
 
aaaaa..... Aseperetuke huko, awape wahtaj nafas. Kha! Mtu kama kupe, ucku mchana kaz kunyonya tena bla faida kwa mnyonywaj.
 
we ulitaka akamuombe nan na wew ndie mpenz wake? Ha2wez jua ww ulijcmt nin cuz manen cku zot humfung mtu. Cku ya kwanza kua nae ulimpa ahad gan, zaid ya kumwmbia usihof am here 4u
 
Back
Top Bottom