Samahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi......
Huwa nashangaa sana hizi threads za pale mtu anapo tamani kumjua mwingine kiundani, wakati huohuo yeye haja bainisha kwaupande wake kile chenye anataka wengine waweke wazi....
hahah, mkuu mimi nimeoa wake wawili, na vyuma vimelegea kwangu nampango wa kumaliza wawili wa mwisho nazani niwatolea humu jf... ndo michakato inasonga Pm uko