Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Nikweli ila hilo pia linatuhusu sisi wanaume. Unakuta mwanaume ameshatembea na wake zawatu kibao tegemea hata ww ukiowa mkeo atagongwa tuu
Mwanaume anachelewa sana kupata pesa kitu ambacho ni ulimbo kwa akina dada,mwanaume kupata mwanamke ni vigumu sana kama hela hana,mi nimeangalia hata mashuleni na vyuoni.. wanawake wanagongwa sana tena yawezekana na wanaume tofautitofauti wenye vipato,ila mwanaume anaweza ku-graduate hajagonga kivile..
 
Safi sana mkuu, huo ndiyo ukweli wenyewe
 
sio wote ndg wengine wamejitunza vizr sana wanasubir wapate mume bora wasonge mbele;wadada wanaofanya machaf wapo n wazur pia wapo wengi tu
Nami nakubaliana nawe, ndiyo sabb nikaweka hiyo 5%
 
kwani ulianbiwa ukioa mwanamke ambae hana dhambi ndo unaenda peponi mojakwa moja. usiwadanganye wenzako. watu wana miaka 35 na bado ni bikra.
 
Wanajamvi huyu mwanamke alishatuambia ana mimba ya msafisha kucha. Inawezekana anampango wa kumwondoa mke wa msafisha kucha ajichopeke yeye. Ukifuatilia post zake anaamini ye ye ni mzuri hivyo lazima anachepuka an kuuza K mpaka kwa wapaka rangi kucha. Mi nafikiri ana laana za kutosha kuziba kwani anaamini asipotulia yeye ni manungayembe. Ref. Post zake mbili zilizopita
 

AHSANTE KWA USHAURI WAKO MZURI, ZINGATIA HIYO VIDEO NIMEWEKA HAPO CHINI, AF SIKU NYINGINE UJIFUNZE KUFANYA JUDGMENT YA ARGUMENTS ZAKO, WEWE SI MUNGU!!!!!!!!
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…