Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Mtoa mada ni vema ukawa na heshima na hawa dada zetu (wanawake). Unajua miaka hii ni tofauti sana na zamani.

Downfall ya kuchelewa kuolewa kwa wanawake wengi kwa sasa ni elimu, na hilo kwa mwanaume muelewa wala haimpi shida maana anajua umuhimu wa elimu. Mfano, wapo wadada ambao hawajafanya hayo mambo unayoyasema hapo juu na wanajiheshimu mno na hata jamii inayowazunguka pia inawaheshimu kwa sababu wamekulia malezi mazuri tu yenye maadili kifamilia na kidini.

Sasa kuwahukumu kwa kusema 95% wapo hivyo ni kuwakosea heshima sana. Wanaume tuwe na busara jamani....kuwa mwanamke sio dhambi, kwa sababu bila mwanamke wewe huwezi kuwa mwanaume; HIVYO [HASHTAG]#RESPECT[/HASHTAG] TO OUR SISTERS/WOMEN IS VERY IMPORTANT# Tusipende kusemea jambo kwa ujumla lakini unaweza sema tu BAADHI YA WANAWAKE WAPO HIVYO hapo utaeleweka ndugu.

Kuolewa pia ni WITO wa Mungu. Wapo wanawake wazuri sana ambao wakiwa kwa miaka chini ya 25 wanaolewa lakini baada ya miezi muda mfupi ndoa inavunjika. Kinyume chake sasa, wapo wadada/wanawake ambao wana zaidi ya miaka 25 na hasa wadada/wanawake wenye umri wa miaka 30 na kuendelea ikija wakabahatika kupata MUME (note: sio mwanaume) hutulia sana na huheshimu na kupenda familia yake na wengi hubarikiwa sana na Mungu.

Mwisho, yote hayo uliyoongea chanzo chake ni wanaume kulaghai wanawake na mwisho wa siku baada ya kuwaharibu ndio hujiona vidume halafu wanawakimbia hao wadada, sasa je WAJIOE WENYEWE?

Nawaheshimuni sana wadada hata kama upo above 25 au above 30 don't give up! Amini Mungu ni mwema kwako na usikate tamaa kumuomba kila siku ili upate mume bora na sio bora mwanaume.

Cheers !!
 
Mleta mada una hoja nzito, lakini lugha yako ni ngumu na ina ukakasi. Hata hivyo, hii hoja ipo valid kwa jinsia zote.

Tunakutana na watu tofauti wenye laana tofauti, tunabebana huko na kubeba malaana yao. Hata bible imeandika, aziniye na mwanamke hana akili kabisa. That's how evil adultery/fornication is termed in the bible, seems God hates fornication/adultery, na akaenda mbele zaidi kusema, wazinzi, wafiraji/wafirwaji hawatauona ufalme wa mbinguni.
 
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Wewe unaongelea wanawake wa mikoani au DAR?Alokwambia below 25 hana dhambi nyingi nani?Watoto wanaliwa from std V siku hizi.Nenda Kimboka na Malapa angalia mabint wanaojiuza,nenda Tandale,nenda Mwananyamala Kisiwani huko.
Angalia sana utakishwa KIBUDU
 
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Ikiwa wanaanza ngono wakiwa na miaka 15 anafkisha 25 usafi wake wa kufaa kuolewa unatokea wap
 
Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.
MKUU KWENYE HII AYA, UMETUPA JIWE SOKONI
 
Mi wakwangu ninemumuoa alikua na 25yrs bado bikra apo vip[emoji4]
 
Je Na wale Ambao wametembea Na Ahadi za Kuolewa since Akiwa Na Miaka 21 Na Amejitunza Vizuri tu Akafikisha 25 Akatemwaa Unamsemeaje na huyo ???
Na Je Umesahau kuna Wanaume wanatembea Na wanawake Umri Kama Mama Zao, Au Bibi Zao Na Hawa nao Unataka Kusema Wakioa Hawatapata mafanikio Kwa sababu Wamepata laana !!!Mmmh
MAFANIKIO* Hayaji kwa sababu ya Umri,Au Ndoa MAFANIKIO* Yanakuja kwa Kujituma, Na Kumtanguliza Mungu Kwenye Kazi Za Mikono yako!!! How Many Single Mother Richest In The World?
 
Wakati mwingine tuwe fair. Hao wanawake unaowasema ni dada zetu ni ndg zetu. Kwanini wasiolewe ?? Wengine wamejitunza vizuri. Wengine tunawaharibu sisi wanaume. Unamtongoza miezi kadhaa, anajiachia akidhani utaoa. Unakula mzigo weee kisha unamchoka unamtema. Hivi hapo nani mkosaji ?? Tuwahurumie dada zetu, tunawadanganya sana. Wanapenda kuolewa sisi priorities zetu ni kuwagonga tu. Tubadilike wanaume
_20170520_214247.JPG
 
Mtoa mada ni vema ukawa na heshima na hawa dada zetu (wanawake). Unajua miaka hii ni tofauti sana na zamani.

Downfall ya kuchelewa kuolewa kwa wanawake wengi kwa sasa ni elimu, na hilo kwa mwanaume muelewa wala haimpi shida maana anajua umuhimu wa elimu. Mfano, wapo wadada ambao hawajafanya hayo mambo unayoyasema hapo juu na wanajiheshimu mno na hata jamii inayowazunguka pia inawaheshimu kwa sababu wamekulia malezi mazuri tu yenye maadili kifamilia na kidini.

Sasa kuwahukumu kwa kusema 95% wapo hivyo ni kuwakosea heshima sana. Wanaume tuwe na busara jamani....kuwa mwanamke sio dhambi, kwa sababu bila mwanamke wewe huwezi kuwa mwanaume; HIVYO [HASHTAG]#RESPECT[/HASHTAG] TO OUR SISTERS/WOMEN IS VERY IMPORTANT# Tusipende kusemea jambo kwa ujumla lakini unaweza sema tu BAADHI YA WANAWAKE WAPO HIVYO hapo utaeleweka ndugu.

Kuolewa pia ni WITO wa Mungu. Wapo wanawake wazuri sana ambao wakiwa kwa miaka chini ya 25 wanaolewa lakini baada ya miezi muda mfupi ndoa inavunjika. Kinyume chake sasa, wapo wadada/wanawake ambao wana zaidi ya miaka 25 na hasa wadada/wanawake wenye umri wa miaka 30 na kuendelea ikija wakabahatika kupata MUME (note: sio mwanaume) hutulia sana na huheshimu na kupenda familia yake na wengi hubarikiwa sana na Mungu.

Mwisho, yote hayo uliyoongea chanzo chake ni wanaume kulaghai wanawake na mwisho wa siku baada ya kuwaharibu ndio hujiona vidume halafu wanawakimbia hao wadada, sasa je WAJIOE WENYEWE?

Nawaheshimuni sana wadada hata kama upo above 25 au above 30 don't give up! Amini Mungu ni mwema kwako na usikate tamaa kumuomba kila siku ili upate mume bora na sio bora mwanaume.

Cheers !!
Nilikusudia uzi uwe mzuri na unaompendeza kila mtu lkn uwasilishaji umenipiga chenga kidogo. samahani kwa hilo.

Madai ya kwamba huwa wanakimbiwa na wanaume siyakubali hata kidogo. Kwann wanagawa k kabla ya ndoa?

Ni kweli elimu siku hizi inawafanya wadada wengi kuchelewa kuolewa. Lkn Wanapokuwa huko mashuleni wakaachana na masuala ya ngono huu uzi pengine usingekuwepo. Huko vyuoni ndiyo hatari zaidi.
 
Tatizo ni wababa kutotimiza majukumu ya kuwatunza wanao.........yaaani unakuta binti hapati huduma yoyote toka kwa wazazi bali anajitunza mwenyewe sasa, akifikia wakati wa kujitunza mwenyewe sasa ndo inaanza hayo ya kugawa......hivi hujuwi kwanini mashoga wameongezeka?
 
Back
Top Bottom