- Thread starter
- #101
Tabia ya mwanadamu huwa imejidhihirisha kikamilifu anapotimiza miaka 18. Ktk umri huu dhamiri na maamuzi yake huwa ni thabiti. Ndiyo maana miaka 18 si mtoto tena. Hata kitaifa mtu huyu huruhusiwa kufanya na kushiriki maamuzi yote kama kuchagua na kuchaguliwa.Hoya yako,nyepesi sana.mm kwa uzoefu niliopitia wa kimahusiano na wanawake tofauti,wasichana wote waliokuwa chini ya miaka 25,walikua wanapenda starehe tu na kufavaa ili waonekane,baada ya kuanza kutembea na wanawake walioanzia miaka 30 na kuendelea ,hawa wako makin sana na maisha na wanafikiria maendeleo,sio starehe na kuvaa.kwahiyo,naheshimu hisia zako,ila sikubalian na hoja yako.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba ukikuta mwanamke ana miaka 18-25 halafu ana tabia fulani fulani basi tabia hazitaondoka tena maishani mwake. Kwahiyo ndugu hao uliokutana nao ndiyo tabia zao na wala si kwa kuwa walikuwa under 25