Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

kwa mwanamke anae jielewa sidhani kama hilo swala la haki sawa atalileta hadi kwenye ndoa yake. Kwenye ndoa ataelewa kuwa yeye atabaki kuwa msaidizi wa mwanaume tu na sio kuwa juu ya mwanaume watu tuna changanya hapo tunahisi haki sawa, ni kuanza kupangiana zamu za kupika na mme wako, we unaosha vyombo naye aoshe, unafua nguo naye afue au naye awe anapeleka mtoto clinic sjui, wakati lengo la kusema kuwe na haki sawa ni kwamba wanawake nao wawe wanapewa kipaumbele kama wanaume kwenye kazi, elimu, umiliki wa mali navitu vingine ila baadhi ya wanawake wanadhani hadi kwnye ndoa kuna haki sawa kitu ambacho hakipo.
 
Mkuu miaka 23 na kuendelea mwanamke ndio akili inakuwa imekomaa . Hivyo viteenager shida tupu akilini za kitoto mambo ya kitoto.

Muombe Mungu unapohitaji mwenza. Mke wangu nilimkuta virgin at 25.

:Silasc
Are u sure mkuu? Isije kuwa ilikuwa bandia? Maana siku hizi kuna virginity za maji ya ndimu na mkojo wa tembo.

Otherwise, you are so lucky.
 
wanawake wote wangekuwa na uelewa kama wako ndoa nyingi zingedumu......................
 
Mkuu umeolewa? Nataka nije kutoa mahali
 
Huyu jamaa nyota yake inavutia sana halaf inang'aa nadhan jela panamuita..Fanya hivi kaoe mwenye miaka 17 au 15 kabisa maana atakuwa hana laana wala mikosi.

Mbona huna ubinadamu wa kuweza kufikiri jinsia ya kike itajisikiaje baada ya kusoma thread yako.Bila shaka utakuwa ktk stage ya ukuaji
 
Nawaasa wazingatie masomo. Waache kuwekwa kinyumba na na mafataki. Wikendi zote wanajimwagia mikorogo na kutokomea kusikojulikana na wanarudi vyuoni jumatatu asubuhi wakiwa wamechoshwa mno.
 
mtoa mada kwa hili usisingizie wanawake tu , kumbuka hapo hapo hata wanaume wa umri huo kuendelea mnakua mme ruka ruka na bado mnaruka ruka sana na hujui unako ruka ruka kuna nini, kusema wanawake tu ndo tunabeba laana sio, kifupi ni kwamba wote tuna laana za mambo tuliyofanya nyuma, na mtu unapotaka kuoa au kuolewa hufanyi toba kukataa vyote tulivyofanya nyuma ili tuanze upya ila unaingia kwenye ndoa na laana zako. Na swala la kwamba zamani waliolewa ma bikra hapa tutofautishe zamani na saivi, umri wa mtoto wa form one saiv ndo umri ambao bibi ake mzaa bibi alikua anaolewa , na hiyo miaka 25 mtu wa zamani alikua tayari ana watoto kadhaa wakati saivi bado una somaga tu. Kwahiyo kama shida ni bikra utaratibu wa zamani wa kuolewa mapema ungekuwepo mpaka sasa zingekuwepo sana tu, japo bado wapo watu umri huo bado wanajitunza.
 
Mkuu nakubaliana nawe kwa mengi uliyoyasema.

Japo kwenye hili la bikra natofautiana nawe kidogo. Wadada wengi wa zamani walikuwa hawatoi nyapu kabla ya ndoa. Na hata hao wachache Waliokuwa wanatoa ilikuwa kumtongoza mpk nyapu uipate si chini ya miezi 6.

Siku hizi ukikaa na mdada siti moja kwenye daladala mpk mkafike kituo kinachofuata tayari kishakubali unaenda kumfunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…