Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Fungua akili yako mkuu ili iwe tayari kupokea mambo mapya
Unavyoamini ndivyo inavyokuwa hivyo wewe tokea uwanze kochovya chovya umechovya wangapi ? Kwanini wenzio uone wa laana wewe huna laana hizo ni akili za kijinga zifute akili yako
 
Samahani.Kwahiyo factor pekee uliyoona itamfanya mwanamke awe mke bora ni umri??If thats so basi ndugu yangu una fikra finyu.
Kitu kingine.Jamii imezoea kumtukana mwanamke left and right as if mwanamke ni kama possession tu,au pet.Yani mwanamke akitukanwa ni kitu cha kawaida sana.Eti wameshaharibiwa kila tundu sjui kiharage kimekomaa kina magamba .Well,kuna ukweli na una point ila kwanini ndugu yangu usijitofautishe na mchambaji.
You dont have to disrespect a woman to air your opinion or prove a point.So what? Kupata likes nyingi?

Ukweli ni kwamba vijana wakike na wakiume wote majanga tu wamelala na kusagana na wafanyakazi wa nyumbani.wamelala na masugar daddy na masugar mummy.kijana wa kike na wakiume wote wanaangalia porn na ku masturbate.vijana wasaiv hatujui hata kama UKIMWI bado upo.

Kwahiyo moral decay haijampita mtu.Ndoa kuvunjika na matatizo mengine ni makosa ya jinsia zote na sanasana jamii inayoendelea kumlaumu mwanamke badala ya kutafuta chazo halisi cha tatizo.
Kutokufikiri na kuwa na roho za kulaumu ndo kunaleta hizi solutions za kutokuoa wanawake 25+ .Mimi siwezi nikaolewa saivi eti kwasababu wanaume wananiona niko 'fresh' na 'msafi'.

Wanawake waliolewa mabikra ndio maana ndoa zimedumu?.okay.Ila ngependa kukwambia wanaume wa zamani walikuwa hawajifungii chumbani kuangalia seasons na kucheza games toka asubuhi mpaka jioni.Walikuwa hawategemei pesa za masugarmummy.Katika umri wa miaka 30 mwanaume wazamani alikuwa haishi kwao na kupikiwa na mama yake.Na alikuwa hamwombi mama yake hela ya vocha.
Mwanaume wasaiv atakuelezea sababu zote kwanini cr7 anastahili au hastahili ballon dor.au siasa.au atakuelezea kipi raha zaidi kufanya sex with or without condom.
Kupika kudeki chumba kimoja hawezi,kubadilisha tairi la gari hawezi,anaogopa panya,hajui kuendesha hata baiskeli,analala mpaka saa tano asb,akisikia pedi anacheka,kupiga pushup hawezi,anaogopa kuchinja kuku,hataki kula ugali,anaona sifa akiitwa mlevi,kazi yake kukaa vijiweni kuelezea jinsi gani amesoma.Pathetic.
Ndio maana wanaume wanaachwa halafu watasema papuchi pana and all disrespectful words.

Kwa ufupi usitegemee vitu vizuri wakati na wewe una balaa tupu.
Umeandika vizuri sana ingawa lazima vijana tubadilike tuache kuitumia miili yetu vibaya hasa kingono.
 
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Nategemea uende kumchumbia Giggy Money ana miaka 19
 
Sema umetolea mfano wa Giggy kwa kuwa hajatulia. Lakini ukioa binti wa umri huo aliyetulia ukaweka ndani unakuwa umelamba dume. Mwanamke akifikisha 23 hajaolewa hata kama alitulia vipi ataanza kugawa kwa hofu ya kuitaka ndoa. Sasa ukioa mwenye 26, 27, 28 , 29, 30, ... Unakuwa umeoa jalala la manii.
 
hasira zako za kuachwa unakuja kutumwagia povu
Kama umeguswa dunia ni tambala bovu na shule. Bado una nafasi ya kujirejebisha ili usije kujikuta maishani ni single mother.

KUACHWA KATIKA NDOA USIOMBEE unabakizwa kuwa kiruka njia
 
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Mkuu hapo kwenye ushauri umesema vijana waoe wenye miaka 25 kushuka chini...halafu paragraph za juuu umeandika..kwamba miaka15 teyari binti ameshaanza kugegedwa..sasa najiuliza huyo wa miaka25 anafikaje umri huo bila kupitia hiyo miaka15...
Asante
 
Hapo nimetenganisha shetani aliyeshindikana na shetani aliye nafuu. Kuna mlevi na mnywaji. Ni hayo tu mkuu.
 
Umeandika kama Sio wewe vile
Mtoa mada ni vema ukawa na heshima na hawa dada zetu (wanawake). Unajua miaka hii ni tofauti sana na zamani.

Downfall ya kuchelewa kuolewa kwa wanawake wengi kwa sasa ni elimu, na hilo kwa mwanaume muelewa wala haimpi shida maana anajua umuhimu wa elimu. Mfano, wapo wadada ambao hawajafanya hayo mambo unayoyasema hapo juu na wanajiheshimu mno na hata jamii inayowazunguka pia inawaheshimu kwa sababu wamekulia malezi mazuri tu yenye maadili kifamilia na kidini.

Sasa kuwahukumu kwa kusema 95% wapo hivyo ni kuwakosea heshima sana. Wanaume tuwe na busara jamani....kuwa mwanamke sio dhambi, kwa sababu bila mwanamke wewe huwezi kuwa mwanaume; HIVYO [HASHTAG]#RESPECT[/HASHTAG] TO OUR SISTERS/WOMEN IS VERY IMPORTANT# Tusipende kusemea jambo kwa ujumla lakini unaweza sema tu BAADHI YA WANAWAKE WAPO HIVYO hapo utaeleweka ndugu.

Kuolewa pia ni WITO wa Mungu. Wapo wanawake wazuri sana ambao wakiwa kwa miaka chini ya 25 wanaolewa lakini baada ya miezi muda mfupi ndoa inavunjika. Kinyume chake sasa, wapo wadada/wanawake ambao wana zaidi ya miaka 25 na hasa wadada/wanawake wenye umri wa miaka 30 na kuendelea ikija wakabahatika kupata MUME (note: sio mwanaume) hutulia sana na huheshimu na kupenda familia yake na wengi hubarikiwa sana na Mungu.

Mwisho, yote hayo uliyoongea chanzo chake ni wanaume kulaghai wanawake na mwisho wa siku baada ya kuwaharibu ndio hujiona vidume halafu wanawakimbia hao wadada, sasa je WAJIOE WENYEWE?

Nawaheshimuni sana wadada hata kama upo above 25 au above 30 don't give up! Amini Mungu ni mwema kwako na usikate tamaa kumuomba kila siku ili upate mume bora na sio bora mwanaume.

Cheers !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SIKUPI LIKE BRO. HUO NI MTAZAMO WALA SIKUKATALII LAKINI KUMBUKA HILI "SUCCESS IS THE MATTER OF AN INDIVIDUAL EFFORT TO THE EXTENT IN WHICH EACH PERSON DECIDE IN HIS OR HER OWN LIFE"

WHATEVER IT MAY JUST BE HAPPEN COMES FROM THE DESTINATION GOD

KUNA WATU WANA MADHAMBI ZAIDI YA KUTOA MIMBA MBONA WANA MAISHA MAZURI? UMEKUSANYA TAKWIMU ZA WATU WANGAPI AMBAO WAMEOA WANAWAKE ABOVE 25 NI MALOFA KISA MWANAMKE AU WANAISHI MIDDLE CLASS?

TUELEZE MAFANIKIO YAKO NA MKE WAKO ULIYENAYE SASA! ALAFU LETA REFERENCE ZA WATU WENGINE HAPA.

SAMAHANI KWA WALE MTAKAO KWAZIKA!
 
Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.

Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.

Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.

Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.

Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.

Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.

USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.

(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Mafanikio nini nini?
Yanapimwaje? Tuanzie hapo labda
 
Kwa kutoa mimbaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Jama itakuwa alikuwa amelewa huyuu

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 labda. Mie naamini mafanikio yanaletwa na wewe mwenyewe kwa kujihangaisha kwako kuyatafuta, huwezi subiri mke mwenye miaka 18 ndio akuletee
 
Back
Top Bottom