Umeota nini?

umeota nini?
niambie ulicho ota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto...[emoji5][emoji5]
Hii ndoto naota eti naeda mbinguni nafika sehemu pumzi inabana sipumui vizuri Kisha navuka hiyo sehem naendelea kupanda nafika sehemu nyingine pumzi inabana Tena. Hii maana yake Nini ?
 
Nimeota nilikua natembea kwenye reli mara ghafla akatokea mmasai mwenye SIME kiunoni kwa mbele akawa anasalimiana na watu mara ghafla akachomoa sime akaanza kuwafyeka wale watu, nilipoona hivyo nikaanza kutoka nduki, waliokua nyuma yangu wote walichezea sime, Jamaa akaanza kunifukuza peke yangu ila hakufanikiwa kunipata, ikafika sehemu nikajibanza kwenye kaukuta kwa kujihami alipokuja nikamvamia nikampora sime nikammaliza yeye mara watu wakaanza kujaa na mimi nikaondoka eneo la tukio..

Emu fungua hio code hapo
 
ni seme inajulisha kuna sehemu unapambania sanaa kwa matarajio lakini kuna uwezekano ndipo anguko lako lilipo aiusiani kabsa na chuo wala six yako
 
Upo form5?
 
umeota leo au ni ndoto ya kila siku maana ndoto inayo fikisha ujumbe uote zaidi hata ya mara tatu zengine ni ndoto tu za kawaida
 
sawa sheikh sharif majini hiyo ndoto ina maana ebu na wewe lala utakachoota niambie nikutafsirie
unaiyota kila au siku moja tu
ila maana yake kwamba kuna sehemu utaitajik lakin hautaweza kupatikana kwa rugha lahisi
 
hautapoteza, utapata

kama ni ndoto inayojirudia rudia
kam ni siku moja czan kama itakuwa na maan saaana
 
Nikiwahi kiota hii ndoto kama mara mbili hivi halafu ili Kaa sana akilini Wala sijaisahau,

Ipi hivi,... Niliota nipo kwenye kilele juu kabisa ya mtu, sijui nilipandaje.
Sasa wakat wa kushuka nikawa naogopa maana Pana umbali, ila chini watu wanapita, na baadhi nilikuwa nawaomba msaada, akapita jamaa mmoja ni tall akaja Hadi pale mtini na nikamuomba anibebe, akasema" mbona sehemu yenyewe nyepesi sana hebu shuka mwenyewe" hakunisaidia.

Ila bahati nzuri akapita mtu mwingine nae ni mwanaume, yeye akasema, hebu shika tawi hilo na hilo then shuka, aisee nilishuka kwa urahisi kupitia maelezo ya yule jamaa..

Tafsiri yake please.
 
shidaa unazoisi kubwa zitatuka kiwepesi, au zilitatuka ,cjui umeot lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…