Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
- Thread starter
- #21
kuna level unapaswa kufika ujaelewa tu namaanisha nini?Kwni niko ukraine moka nianze maoambano mkuu nifanyeje nishauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna level unapaswa kufika ujaelewa tu namaanisha nini?Kwni niko ukraine moka nianze maoambano mkuu nifanyeje nishauri
ndivyo ilivyoMtafsiri ndoto wa leo ni kiboko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Napoteza mda sasa au nilipoteza mda. Nahitaji msaada zaidi wa maelezokuna sehemu unapoteza mudaa
nashindwa nikueleze vpNapoteza mda sasa au nilipoteza mda. Nahitaji msaada zaidi wa maelezo
Hii ndoto naota eti naeda mbinguni nafika sehemu pumzi inabana sipumui vizuri Kisha navuka hiyo sehem naendelea kupanda nafika sehemu nyingine pumzi inabana Tena. Hii maana yake Nini ?umeota nini?
niambie ulicho ota nikutafsirie maana ya hiyo ndoto...[emoji5][emoji5]
ni seme inajulisha kuna sehemu unapambania sanaa kwa matarajio lakini kuna uwezekano ndipo anguko lako lilipo aiusiani kabsa na chuo wala six yakoNdoto nyingine Huwa nawaza sijamaliza form six, na Cha ajabu wakati huo huo naota nimemaliza chuo. Kwa ndoto najiuliza nimefikaje chuo wakati sijaua six. .
Ina maana Kuna part au life ya form six nakuwa nimeiruka au naiishi ndotoni. Hii ndoto kwa sasa nimeiota zaidi ya mara nane. Kwenye ndoto nakuwa mzito kusoma na unakuta zimebaki siku mbili mtihani bado nakuwa mgumu kusoma najiambia nitatoboa tu. .
Shida hii ndoto inanisumbua kisaikolojia very bothering. .
Upo form5?Ndoto nyingine Huwa nawaza sijamaliza form six, na Cha ajabu wakati huo huo naota nimemaliza chuo. Kwa ndoto najiuliza nimefikaje chuo wakati sijaua six. .
Ina maana Kuna part au life ya form six nakuwa nimeiruka au naiishi ndotoni. Hii ndoto kwa sasa nimeiota zaidi ya mara nane. Kwenye ndoto nakuwa mzito kusoma na unakuta zimebaki siku mbili mtihani bado nakuwa mgumu kusoma najiambia nitatoboa tu. .
Shida hii ndoto inanisumbua kisaikolojia very bothering. .
Shukran kwa utafsiri🙏ni seme inajulisha kuna sehemu unapambania sanaa kwa matarajio lakini kuna uwezekano ndipo anguko lako lilipo aiusiani kabsa na chuo wala six yako
Nimeua chuo miaka nane hivi sasa imepitaUpo form5?
shukrani naweShukran kwa utafsiri[emoji120]
umeota leo au ni ndoto ya kila siku maana ndoto inayo fikisha ujumbe uote zaidi hata ya mara tatu zengine ni ndoto tu za kawaidaNimeota nilikua natembea kwenye reli mara ghafla akatokea mmasai mwenye SIME kiunoni kwa mbele akawa anasalimiana na watu mara ghafla akachomoa sime akaanza kuwafyeka wale watu, nilipoona hivyo nikaanza kutoka nduki, waliokua nyuma yangu wote walichezea sime, Jamaa akaanza kunifukuza peke yangu ila hakufanikiwa kunipata, ikafika sehemu nikajibanza kwenye kaukuta kwa kujihami alipokuja nikamvamia nikampora sime nikammaliza yeye mara watu wakaanza kujaa na mimi nikaondoka eneo la tukio..
Emu fungua hio code hapo
unaiyota kila au siku moja tusawa sheikh sharif majini hiyo ndoto ina maana ebu na wewe lala utakachoota niambie nikutafsirie
hautapoteza, utapataNimeota nilikua natembea kwenye reli mara ghafla akatokea mmasai mwenye SIME kiunoni kwa mbele akawa anasalimiana na watu mara ghafla akachomoa sime akaanza kuwafyeka wale watu, nilipoona hivyo nikaanza kutoka nduki, waliokua nyuma yangu wote walichezea sime, Jamaa akaanza kunifukuza peke yangu ila hakufanikiwa kunipata, ikafika sehemu nikajibanza kwenye kaukuta kwa kujihami alipokuja nikamvamia nikampora sime nikammaliza yeye mara watu wakaanza kujaa na mimi nikaondoka eneo la tukio..
Emu fungua hio code hapo
elimu kubwa hiii si ya kuletea mizaha kabisaNimeota wewe jamaa utapost hii mada
shidaa unazoisi kubwa zitatuka kiwepesi, au zilitatuka ,cjui umeot liniNikiwahi kiota hii ndoto kama mara mbili hivi halafu ili Kaa sana akilini Wala sijaisahau,
Ipi hivi,... Niliota nipo kwenye kilele juu kabisa ya mtu, sijui nilipandaje.
Sasa wakat wa kushuka nikawa naogopa maana Pana umbali, ila chini watu wanapita, na baadhi nilikuwa nawaomba msaada, akapita jamaa mmoja ni tall akaja Hadi pale mtini na nikamuomba anibebe, akasema" mbona sehemu yenyewe nyepesi sana hebu shuka mwenyewe" hakunisaidia.
Ila bahati nzuri akapita mtu mwingine nae ni mwanaume, yeye akasema, hebu shika tawi hilo na hilo then shuka, aisee nilishuka kwa urahisi kupitia maelezo ya yule jamaa..
Tafsiri yake please.
Kaka, ni mwezi huu mwanzoni.shidaa unazoisi kubwa zitatuka kiwepesi, au zilitatuka ,cjui umeot lini