Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

Tunalianzisha ivyo ivyo, mi nilioa nikiwa kwenye chumba kimoja baada ya mwaka tukapata katoto ka kwanza baada ya mwaka wa tatu kapili na Bado tupo kwa chumba chetu. Wakishua hawezi kuelewa hii maisha ya uswazi tunaishi
Hapo mzee ukirudi mtoto mnatumwa binzari na pilipili kiswaswa.. anaitafuta masaa matatu hajaipata
 
rejea mleta Mada, Jambo gani linalo fanya watanzania wengi tuwe shallow in reasoning and analyzing issue
1. Elimu duni?
2. IQ ya kurithi?
3. CCM?
4. Mazingira tunao ishi?
5. Lack of exposure.
 
Vipi kuhusu privacy yenu mkibarikiwa kuwa na mtoto hapo mbeleni utabadilisha vipi nguo? Mtashiriki vipi tendo la ndoa?

Kwa hiyo,unayajua maisha yao,hawawezi kuhamia chumba na sebure au na zaidi,miaka yao yote.si ndo hivo? Na mbunge bungeni kumbuka anakuona kama huna akili,kwa sababu unafanya kazi tofauti na yeye.
Dreva wa lori,anakuona chokoraa.
Ndo maana na wewe waishio maisha ya tabu,unawaona leo hawajajipanga.
Lakini,wengi wameanza hata hicho kitanda hakimo,na wamefanikiwa pakubwa sana.
Bora wao wameamua kuishi kuliko kuendelea kumalizia hela zao bar na kwa malaya. Wamekuachia wewe.
Hivi,ngozi nyeusi huwa ina shida gani? Maisha ya watu kuyaingilia na kuyapangilia,kuna nini? Kwa nini? Ili iweje! Siku zote ukiingilia yasiyokuhusu, unaambulia majibu yasiyostahili.

 
Wakifanikiwa kupiga hatua ya kumiliki nyumba kubwa basi ni jambo la heri kwao.. lakini hiyo haifanyi kuanzisha familia kwenye chumba kimoja kuwa maamuzi ya busara
 
Kwani mke hawezi kuenea kwenye chumba kimoja.

Kizazi cha sasa cha kiume ni hasara tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…