Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

Tusipende ubishi chumba kimoja ni kwaajiri ya mtu au watu wanaotaka kuanza maisha ila sio mtu au watu wanaotaka kuanzisha familia
Kuanzisha familia kuna haja ya kujipanga ktk suala la makazi
Jisemee wewe tu, mimi nimeishi chumba kimoja miaka ila kila kitu na kipata fresh.
 
Kwa maisha ya Mtanzania wa ile hali/mnyonge(?)siwezi kushangaa akipanga chumba kimoja anapoanza kuishi na mke.Uchumi "umebovuka"!Tukitaka wawe wamejikamilisha tutarajie waoe wakiwa na miaka 49-55.Yaani watafikia u-senior citizen ndiyo wataposa wachumba.
Pamoja na hali mbaya mkuu still unaweza pata chumba na sebule pembezoni mwa mji kwa bei affordable kabisa mkaishi kwa furaha mkipata hata wageni mnakuwa hamna hofu
 
Maisha yapo katika level (viwango)

Kuna Ambao wanakula wanachotaka na wengine wanakula kinachopatikana

So wakati wewe ukiwa unaamini ili uoe unabidi kuwa na nyumba wengine hata sehemu ya kulala hawana.

So acha watu wajipimie

Mwanzo sio mwisho
Mkuu mitazamo kama hiyo inagharimu watu wengi maisha ni kujipanga hususani ishu ya familia inabidi uwe well prepared psychological na financial swala la kukurupuka ndio linafanya ndoa nyingi kutodumu kwa muda mrefu.
 
8
Hatari sana

Kujipanga kakili ni muhimu Ila usiweke mipaka ktk kuishi kumbuka tunaishi mara moja tu.
 
Familia yao unawapangia jinsi ya kuikuza wewe?
Sio kuwapangia mkuu tunapokuwa kwenye jamii alafu mmoja mambo yake hayaendi sawa hayamuathiri yeye peke yake ni jamii nzima inaathirika

Mfano mtoto wao akishuhudia wanayofanya chumbani atakuja kuyajaribu kwa watoto wa majirani
 
Kwani lazima wawe na mtoto?

Kwa hiyo unasema wasio na uwezo wa kuwa na makazi unavyotaka wasiwe na watoto?
 
Kuna wanandoa Wana watoto wanne na mwingine yupo njiani wanalala chumba kimoja.
Mtoto WA kwanza ni wakiume yupo form 3
Kuna siku nilimwambia mama mtu kama ataridhia huyo kijana awe anakaa kwetu..(kwa wazazi wangu)
Nilitukanwa ...
Mpaka Leo Hawa wanandoa Huwa siwaelewi...
Watoto wanne na wazazi wakiwemo watu sita kuishi chumba kimoja haziakaa sawa wanamtesa huyo mtoto wa form four kisaikolojia
 
Kwani kazima wawe na mtoto?

Kwa hiyo unasema wasio na uwezo wa kuwa na makazi unavyotaka wasiwe na watoto?
Hata kama hawana watoto kuishi chumba kimoja sio kabisa mkipata wageni mnawapeleka wapi
 
Hata kama hawana watoto kuishi chumba kimoja sio kabisa mkipata wageni mnawapeleka wapi
Kwani wamekwambia wanataka wageni?

Mtu anaoa kujionesha kwa wageni au kuishi maisha yake?

Mimi nina sebule mbili kwangu. Ya watu wazima na ya watoto.

Nimlazimishe kila mtu awe na sebule mbili kwa sababu naona watoto wanatakiwa kuwa na sebule yao?
 
Mkuu kwa nini una sebule mbili??

Wala sio kujionyesha ni maisha ya kawaida. Vuta picha kupikia sehemu unayolala tena wengine wanapikia majiko ya mkaa ndio zile case za watu kupoteza maisha kutokana na Moshi

Kuwa na at least chumba na sebule Kuna faida nyingi ukiondoa privacy Kuna ishu za usalama na utulivu
 
Wewe una nyumba yenye sebule ngapi?
 
Back
Top Bottom