Jisemee wewe tu, mimi nimeishi chumba kimoja miaka ila kila kitu na kipata fresh.Tusipende ubishi chumba kimoja ni kwaajiri ya mtu au watu wanaotaka kuanza maisha ila sio mtu au watu wanaotaka kuanzisha familia
Kuanzisha familia kuna haja ya kujipanga ktk suala la makazi
Pamoja na hali mbaya mkuu still unaweza pata chumba na sebule pembezoni mwa mji kwa bei affordable kabisa mkaishi kwa furaha mkipata hata wageni mnakuwa hamna hofuKwa maisha ya Mtanzania wa ile hali/mnyonge(?)siwezi kushangaa akipanga chumba kimoja anapoanza kuishi na mke.Uchumi "umebovuka"!Tukitaka wawe wamejikamilisha tutarajie waoe wakiwa na miaka 49-55.Yaani watafikia u-senior citizen ndiyo wataposa wachumba.
Sio standard zangu hii ni masilahi mapana kwa ajili ya ukuaji chanya wa familia yaoMkuu,
Unataka kulazimisha watu waishi kwa standards zako?
Sasa,hapo kuna uvumilivu,utumiaji mwema wa akili na uchaguzi sahihi kulingana na haliyamtu.Pamoja na hali mbaya mkuu still unaweza pata chumba na sebule pembezoni mwa mji kwa bei affordable kabisa mkaishi kwa furaha mkipata hata wageni mnakuwa hamna hofu
Familia yao unawapangia jinsi ya kuikuza wewe?Sio standard zangu hii ni masilahi mapana kwa ajili ya ukuaji chanya wa familia yao
Mkuu mitazamo kama hiyo inagharimu watu wengi maisha ni kujipanga hususani ishu ya familia inabidi uwe well prepared psychological na financial swala la kukurupuka ndio linafanya ndoa nyingi kutodumu kwa muda mrefu.Maisha yapo katika level (viwango)
Kuna Ambao wanakula wanachotaka na wengine wanakula kinachopatikana
So wakati wewe ukiwa unaamini ili uoe unabidi kuwa na nyumba wengine hata sehemu ya kulala hawana.
So acha watu wajipimie
Mwanzo sio mwisho
Hatari sana
Mkuu mitazamo kama hiyo inagharimu watu wengi maisha ni kujipanga hususani ishu ya familia inabidi uwe well prepared psychological na financial swala la kukurupuka ndio linafanya ndoa nyingi kutodumu kwa muda mrefu.
Hakuna mahala nimesema ujenge ndio uoe nachoshangaa kuoa ukiwa umepanga chumba kimojaSubiri ujenge ndio uoe huku umri ukiwa unasonga
Bajeti ndipo inavyoruhusuHakuna mahala nimesema ujenge ndio uoe nachoshangaa kuoa ukiwa umepanga chumba kimoja
Sio kuwapangia mkuu tunapokuwa kwenye jamii alafu mmoja mambo yake hayaendi sawa hayamuathiri yeye peke yake ni jamii nzima inaathirikaFamilia yao unawapangia jinsi ya kuikuza wewe?
Kwani lazima wawe na mtoto?Sio kuwapangia mkuu tunapokuwa kwenye jamii alafu mmoja mambo yake hayaendi sawa hayamuathiri yeye peke yake ni jamii nzima inaathirika
Mfano mtoto wao akishuhudia wanayofanya chumbani atakuja kuyajaribu kwa watoto wa majirani
Watoto wanne na wazazi wakiwemo watu sita kuishi chumba kimoja haziakaa sawa wanamtesa huyo mtoto wa form four kisaikolojiaKuna wanandoa Wana watoto wanne na mwingine yupo njiani wanalala chumba kimoja.
Mtoto WA kwanza ni wakiume yupo form 3
Kuna siku nilimwambia mama mtu kama ataridhia huyo kijana awe anakaa kwetu..(kwa wazazi wangu)
Nilitukanwa ...
Mpaka Leo Hawa wanandoa Huwa siwaelewi...
Hata kama hawana watoto kuishi chumba kimoja sio kabisa mkipata wageni mnawapeleka wapiKwani kazima wawe na mtoto?
Kwa hiyo unasema wasio na uwezo wa kuwa na makazi unavyotaka wasiwe na watoto?
Kwani wamekwambia wanataka wageni?Hata kama hawana watoto kuishi chumba kimoja sio kabisa mkipata wageni mnawapeleka wapi
Mkuu kwa nini una sebule mbili??Kwani wamekwambia wanataka wageni?
Mtu anaoa kujionesha kwa wageni au kuishi maisha yake?
Mimi nina sebule mbili kwangu. Ya watu wazima na ya watoto.
Nimlazimishe kila mtu awe na sebule mbili kwa sababu naona watoto wanatakiwa kuwa na sebule yao?
Nenda tu msingi mkuu ni upendoWacha nighairi aseee,,kuna kijana tunafunga harusi kesho,ila kapanga chumba kimoja,, asante kwa kunisanua
Wewe una nyumba yenye sebule ngapi?Mkuu kwa nini una sebule mbili??
Wala sio kujionyesha ni maisha ya kawaida. Vuta picha kupikia sehemu unayolala tena wengine wanapikia majiko ya mkaa ndio zile case za watu kupoteza maisha kutokana na Moshi
Kuwa na at least chumba na sebule Kuna faida nyingi ukiondoa privacy Kuna ishu za usalama na utulivu