Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

.

umeongea kwa fact upo sahihi , safi sana.
 
Hahahaaaaa basi itakuwa poa....babuuuuuuuu.....pia niko na best comedian makax yupo risk management

mkapige buku co utakuwa na nani cjui nani....hali ya ukiduku uache kwenu... “Think 100 times before you take a
decision, But once that decision is taken,
stand by it as one man.”
― Muhammad Ali Jinnah
 
Mia mia.

Its usually exciting kuambiwa unajiunga na kada ya wasomi. Hasa wale wanaopata vyuo vyenye majina na kozi zenye sifa mtaani.

Ukigraduate ndio utabaini si MD si LLB si Telecommunication si BCom nk itakutoa! Ni natural talents alizokujalia Mungu jumlisha na kuwa mahali sahihi kwa wakati sahihi ukiwa na watu sahihi.
 
hapo sawa! Je DUCE na MUCE Vyet yao na vitambulsho n sawa na UDSM AU
 
Average ya 40% hapo ni kula bataaa ,ifm ni taasisi sio chuokikuu

Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana
 
Safi kaka #mtoto wa kunyumba kwa ushauri....tuendelee kupeana ushauri makini
 
hapo sawa! Je DUCE na MUCE Vyet yao na vitambulsho n sawa na UDSM AU

cna uhakika na hilo ila nasikia DUCE, MUCE wakigraduate vyet vyao vinaandikwa University of dar-es salaam
 
Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana

Huyu dogo anatafuta faraja ya moyo kwa kuponda wanakosoma wenzake. Na ukiangalia vizuri hao anaowaponda yeye wanamzidi. Napajua vizuri Ushirika hanidanganyi.
 
Hahahahaaa...nimecheka sanaaaa.....maneno makali lakini mazuri sana...ushauri mzuri nashukuru san mkuu.....watu kama nyie ndo mnatakiwa badala ya kukaa na kuanza kusifia sifia vyuo tu hapa
 
Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana

HUJIELEWI WEWE! Average ya 40% ni ndogo kubali ukatae shule yako ni rahisi
 
Moshi university college, institute of social ..., institute of finance management, sokoine university of agriculture, mzumbe university, university of dsm, university of dodoma , hapo vyuo ni vitano na taasisi mbili tu HIZO NI TAASISI(IFM &ISW) SIO VYUO VIKUU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…