Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

mkuu had ww uelewi hili ngoja nikufafanulie bac; iko hv UDSM ndo imezaaa ardhi(zaman ilikuwa inaitwa UCLAS) mwaka2007, pia UDSM imezaa muhimbili university, na kama sikosei pia udsm ndo imeizaa Sua(zaman ilikuwa ni university of dar-es-salaam college of agricultre)!! Vyuo vyote hvyo vinajitemea vyenyewe sasa!! So ckatai hiyo duce,muce zako kwamba ni part of udsm had nw! Bt nahc ulikuwa hujanielewaaaa! Naomba kusahihishwaa kama nimekoseaa coz me binadamu
.

umeongea kwa fact upo sahihi , safi sana.
 
Hahahaaaaa basi itakuwa poa....babuuuuuuuu.....pia niko na best comedian makax yupo risk management

mkapige buku co utakuwa na nani cjui nani....hali ya ukiduku uache kwenu... “Think 100 times before you take a
decision, But once that decision is taken,
stand by it as one man.”
― Muhammad Ali Jinnah
 
nawatakia masomo mema wote muliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali,lakini mkumbuke
1 40% yenu hamtapractices kozi mlizosomea
2 20% watakuwa wajasiliamali
3 20% yenu watashindwa kufanya kazi kwa digrii moja wataona bora wakasomee master immediate tu baada ya kuhitimu first degree
4 100% yenu mtakuja kubaini kumbe jina la chuo halina nafasi kwenye ajira
5 50% yenu mtabaini maisha ya chuo ni matamu(kale kaposho ka meal and accomodation)kuliko huku mtaani.

Mia mia.

Its usually exciting kuambiwa unajiunga na kada ya wasomi. Hasa wale wanaopata vyuo vyenye majina na kozi zenye sifa mtaani.

Ukigraduate ndio utabaini si MD si LLB si Telecommunication si BCom nk itakutoa! Ni natural talents alizokujalia Mungu jumlisha na kuwa mahali sahihi kwa wakati sahihi ukiwa na watu sahihi.
 
mkuu had ww uelewi hili ngoja nikufafanulie bac; iko hv UDSM ndo imezaaa ardhi(zaman ilikuwa inaitwa UCLAS) mwaka2007, pia UDSM imezaa muhimbili university, na kama sikosei pia udsm ndo imeizaa Sua(zaman ilikuwa ni university of dar-es-salaam college of agricultre)!! Vyuo vyote hvyo vinajitemea vyenyewe sasa!! So ckatai hiyo duce,muce zako kwamba ni part of udsm had nw! Bt nahc ulikuwa hujanielewaaaa! Naomba kusahihishwaa kama nimekoseaa coz me binadamu

hapo sawa! Je DUCE na MUCE Vyet yao na vitambulsho n sawa na UDSM AU
 
Average ya 40% hapo ni kula bataaa ,ifm ni taasisi sio chuokikuu

Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana
 
mkapige buku co utakuwa na nani cjui nani....hali ya ukiduku uache kwenu... “Think 100 times before you take a
decision, But once that decision is taken,
stand by it as one man.”
― Muhammad Ali Jinnah

Safi kaka #mtoto wa kunyumba kwa ushauri....tuendelee kupeana ushauri makini
 
hapo sawa! Je DUCE na MUCE Vyet yao na vitambulsho n sawa na UDSM AU

cna uhakika na hilo ila nasikia DUCE, MUCE wakigraduate vyet vyao vinaandikwa University of dar-es salaam
 
Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana

Huyu dogo anatafuta faraja ya moyo kwa kuponda wanakosoma wenzake. Na ukiangalia vizuri hao anaowaponda yeye wanamzidi. Napajua vizuri Ushirika hanidanganyi.
 
mkapige buku co utakuwa na nani cjui nani....hali ya ukiduku uache kwenu... “Think 100 times before you take a
decision, But once that decision is taken,
stand by it as one man.”
― Muhammad Ali Jinnah

Hahahahaaa...nimecheka sanaaaa.....maneno makali lakini mazuri sana...ushauri mzuri nashukuru san mkuu.....watu kama nyie ndo mnatakiwa badala ya kukaa na kuanza kusifia sifia vyuo tu hapa
 
Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana

HUJIELEWI WEWE! Average ya 40% ni ndogo kubali ukatae shule yako ni rahisi
 
pia MUCCOBS ni college co chuo kikuuu! Alafu poulee kama ujui me nipo UCLAS...ukipenda kiite ARU co ifm!! Note that kuhucu muccobs inatokana na Sua tuweke pemben coz ukicema hvyo na mm ntakuambiaa UCLAS(ARU) inatokana na UDSM!!! so lete fact co kudharau vyuo vya wenzakoooo mkuu mpigamsuli NB napenda challenge zakooo

Moshi university college, institute of social ..., institute of finance management, sokoine university of agriculture, mzumbe university, university of dsm, university of dodoma , hapo vyuo ni vitano na taasisi mbili tu HIZO NI TAASISI(IFM &ISW) SIO VYUO VIKUU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom