Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmejifunza woga wako ndo umaskini wako kua hustle kwa kila hali kufa kupona ili uweze kusurviveMimi: Kila kitu kizuri kinataka muda, muda inahitaji sacrifice ya vitu vingi vizuri.
Basi hujui kuhusu migodiNdiyo ninakoishi.
Wapo, sema wewe umekutana na wajingaHakuna mwanamke mwenye mapenzi ya dhati
Yaani hata akulilie vipi wakati unamkaza usidhani kwamba ndiyo anakupenda.
Wanawake wapo kwa maslahi yao binafsi na siyo upendo wa kweli.
Hata umsaidie vipi mwanamke bado hawezi kuwa na shukrani kwako na atatamani wanaume wengine wamsweke mkuyenge bila kumpa chochote.
Ndicho nilichogain mwaka 2022.
Haya sasa karibuni mnishambulie
Tupe Elimu kidogo katika hili.. binafsi sijakuelewaNamba 9 ndio namba yenye nguvu sana kuliko namba zote, hicho ndicho nilichojifunza mwaka mzima 2022.
Swadakta ,hakika umesema kwel mkuu...Haya ndio niliyojifunza na yamenijenga kianza upya vizuri next year.
1- Usijipe umuhimu kwenye maisha ya watu. Watu niliowasaidia na kutoa muda wangu kumake sure they make it hata kama sina na nikasaidia hata kwa kutoa muda wangu, mawazo na kufanya kwa kadri nilivoweza, lakini mambo yalivoniendea vibaya ndio hawakutaka hata kunisikia, hata simu yangu haikupokelewa, wala sikuona hata text kujua unaendeleaje nk, pia kila nilipohitaji msaada wao basi jibu lilikua either kutojibiwa kabisa, kuambia pia sina kwa sasa etc, hahaha nikajua wale i thought mimi ni wa muhimu kwao na nikawasaidia wakati naweza ndio hawa wananikataa live baada ya kupata shida, well somo nimelielewa.
2- Ukiwa kazini just do your work usitake kujibebesha mizigo ya wengine isije kuangusha wewe, kifupi usimuamini yoyote ukiwa kazini, just be you and do your work. Kuna my friend kwenye place yake mpya ya kazi baada ya kupanda cheo last year, alipofika wakati wa makabidhiano yule alietakiwa kumkabidhi akawa kaondoka kaiba kiasi kikubwa cha pesa (kama 10M), akasema itabidi areport uongozi wa juu zaidi cas hawezi kabidhiwa ofisi haijakamilika, yule kiongozi wa ukaguzi na issue usimamizi wa fedha akamlilia sana ofisini akasema usitoe taarifa maana akitoa basi staff wote wa ile ofisi watafutwa kazi kwa uzembe ikiwemo yeye na watu wanafamilia zao awaonee huruma ila wataji organize hiyo pesa waweze kuireplace within few months ye aandike tu everything is ok, kibinadamu mtu mzina kukulilia na kukwambia situantions na akaona kabisa boss alieondoka aliiba hizo pesa na hakuna njia ya kumpata, ikabidi jamaa akubali. To make story short, after some months pesa haikua replaced then yule yule aliemlilia alamtengenezea zongo na akatoa taarifa yake ya ukaguzi kwa uongozi na kusema kakuta 10M haipo na wakati wanamkabidhi ofisi eti ilikuepo, jamaa anafika asubuhi ofisini anakuta ujumbe kwa secretary aende HQ kuna kosa limefanyika na pia wakaguzi wanakuja kutoka HQ, basi akasema hapa najua kila kitu kiko sawa isipokua ile 10M , bila kujua kua kashachomewa akaazima 10M kwa rafiki zake wengine aiweke tu then ukaguzi ukiisha awarudishie, na akamshirikisha yule yule jamaa mkaguzi wa hapo kua anaazima pesa ili ile isilete shida, akasema poa, kumbe pale pale jamaa katuma email HQ na ma sms kua kasikia jamaa amereplace ile pesa iliopotea ili ionekane ipo na kaazima kwa flani bank flani, dah jamaa anafika anajiamini alafu akakuta masaibu hayo na kila kitu kiko mezani.... hahah kifupi na kujutetea kote jamaa alipoteza kazi na vile alikua nchi ya watu basi kazi aliokua kaanza kufaidi matunda yake makubwa ikaisha within 7 month tu. Just do your job na usipende kujibebesha mizigo isokua yako.
3- Ukiwa na pesa wekeza, hasa kwenye mali na vitu vya thamani, kuliko kutumbua tu, sometimes nunua hata viwanja sehemu za.mbali vinapouzwa bei rahisi hata mikoani, nunua hata vito vya thamani vya dhahabu, diamond, pete za dhahabu, cheni, Tv za bei ghali, friji , makochi ya thamani, na vitu vingine vya thamani, sababu hivi vinaweza kua.mkombozi wako mkubwa wakati unapopata changamoto, kuliko kukopa na kubaki na madeni basi vitu hivyo vitakua mkombozi wako kwa wakati usioutarajia.
4- Usikope kama unajua wakati huo sio rahisi kwako kurudisha kutokana na changamoto mfano kama huna kazi, usikope. Ni bora uombe usaidiwe kuliko kukopa, epuka kukopa, hasa kwa watu wako wa karibu. Watu this year wamevunja sana uhusinano na ndugu na marafiki na.kuishi kwa wasiwasi sababu ya kushindwa kulipa madeni, sio kwa kupenda ila ni kweli wamekosa ya kulipa, please USIKOPE. Inaondoa hata baraka watu wakiwa wanakudai na kukuwazia vibaya.
5- Tumia pesa zako kujinufaisha wewe na familia yako, watu wengine wasaidie ukiona kuna umuhimu na una cha ziada, sababu watu hawathamini msaada kabisa, ukishawasaidia basi imetoka, na utaumia zaidi pale siku wewe unapata shida na huna wa kukusaidia.
6- Ni bora kutokua na marafiki (best friends) kuliko kua na marafiki ambao hawana msaada wowote kwako yani hawakuongei wala kukupunguzia chochote zaidi ya wao kutegemea wewe na kukunyonya na vya kwao wanabana. In 2023 jitahidi kujipenda wewe kwanza na kufanikisha mambo yako na ya wengine yanaweza kusubiri kwanza. Mrafiki ambao ukiwa na shida hawakusaidii na hawana uwezo wa kukusaidia ila wao huomba msaada kwako na unawasaidia kila wakati just leave them ama waweke kwenye ignore lists.
7- Usitangaze shida zako, usimwambie mtu shida zako, pambana how to solve it ila usiwaambie watu unayopitia.
8- Siri ndio njia ya kufanikiwa, kua na siri usiwaambie watu mipango yako, hata kama unataka kujenga, usiambie watu, hata friends. Hata kama unataka kubuy gari usiambie mtu. Hiki ndio chanzo kikuu cha kufail mambo mengi sana. Try this next year uje hapa kunishukuru.
Let 2023 be about you, and you only.
Sawa bwana geologist.Basi hujui kuhusu migodi
AiseeHAKUNA RAFIKI SNITCH KAMA PESA,
LEO UKO NAYE KESHO MAZIMA ANASEPA!!!
Twende na hesabu hii nyumba nzima yenye vyumba vitatu na sebule na jiko, dining, store na banda la mbwa mtu analipa 200,000 kwa mwezi alafu mtu mwenye lodge ya vyumba 10 ukategesha pazuri kwa bei ya 20,000 tu una uhakika wa kujaza vyumba 6 daily na vinne vilivyobaki kwa ajili ya pesa ya kuendeshea hiyo lodge unajikuta inakulea hata nyakati za shidaKwa nn mkuu?? Watu hawalipi kodi? Au what are advantages of lodge over nyumba za kupangisha???
Its true lakn huoni kuwa running cost ya lodge iko juu kuliko rental house??Twende na hesabu hii nyumba nzima yenye vyumba vitatu na sebule na jiko, dining, store na banda la mbwa mtu analipa 200,000 kwa mwezi alafu mtu mwenye lodge ya vyumba 10 ukategesha pazuri kwa bei ya 20,000 tu una uhakika wa kujaza vyumba 6 daily na vinne vilivyobaki kwa ajili ya pesa ya kuendeshea hiyo lodge unajikuta inakulea hata nyakati za shida
kodi TRA
ushuru wa manispaa
mtu wa kufanya usafi daily
kama lodge iko eneo lenye vibaka itabidi uajiri mlinzi
kuna mikoa ina joto mfano dar, utalazmika kufunga fan/ac/air cooler.
kuna mikoa ina baridi kama moshi utalazmika kufunga heater za kuchemshia maji ya kuoga (manake unaingia gharama za umeme hapo)
kupaka rangi in case rangi ukutan imechafuliwa
other little maintainance