Umepata somo gani la maisha 2022?

Wapo, sema wewe umekutana na wajinga
 
Swadakta ,hakika umesema kwel mkuu...
 
1.Epuka kuforce mahusiano na mtu ambaye Hadhamini upendo wako.
2.jipende and have fun life is short.
3.kuna muda wale ambao ulikuwa unawategemea Kwa jambo Fulani watakukimbia utabaki mwenyewe.
4.jifunze kuongea Kwa break,usiwe mropokaji,ongea Kwa timing.
5.epuka mikopo isiyokuwa ya lazima.
6.kila siku penda kujifunze kitu kipya .
7.usipoteze mda na kitu kisichokuwa Cha maana.
8.jilinde na utunze afya yako.
9.mwamini Muumba wako.
10.jiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nn mkuu?? Watu hawalipi kodi? Au what are advantages of lodge over nyumba za kupangisha???
Twende na hesabu hii nyumba nzima yenye vyumba vitatu na sebule na jiko, dining, store na banda la mbwa mtu analipa 200,000 kwa mwezi alafu mtu mwenye lodge ya vyumba 10 ukategesha pazuri kwa bei ya 20,000 tu una uhakika wa kujaza vyumba 6 daily na vinne vilivyobaki kwa ajili ya pesa ya kuendeshea hiyo lodge unajikuta inakulea hata nyakati za shida
 
Its true lakn huoni kuwa running cost ya lodge iko juu kuliko rental house??

Running cost za lodge

Running cost za rental house
kupaka rangi in case rangi ukutan imechafuliwa
other little maintainance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…