Umepata somo gani la maisha 2022?

Nimejifunza kuwa mi nyumba ya kupangisha haina ishu bora ningejenga Lodge

Hili wazo nampaga bi mkubwa kwenye nyumba yake maeneo ya Temeke ananionaga muhuni sana….Namwambiaga nyumba yangu ingekuwa mjini ningefanya vile.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daa we jamaa ulivyomalizia vizuri apo chini sasa
 
Dah hili somo nimelichukua kiongozi...
 
Hili nalo NENO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…