green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Vp maji ya betri hayawezi kudhibitiOli chafu pekee haifai na kutosha, solution ni
Oil chafu una mix na petrol
Hapo Tanalith C ikasome
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp maji ya betri hayawezi kudhibitiOli chafu pekee haifai na kutosha, solution ni
Oil chafu una mix na petrol
Hapo Tanalith C ikasome
NakaziaHakuna hata ka Picha tuonee
Mchongo mtupuNunua mbao ambazo sio za Dawa kisha tafuta hii.
View attachment 2701915
matumizi yake inakuwaje? na inasaidia nini?Nunua mbao ambazo sio za Dawa kisha tafuta hii.
View attachment 2701915
😂😂😂🧪Huyo pimbi wa TBS anabisha tena badala ya kuchukua hatua....mijitu mipu.mbav sana
😂😂😂😂We ulishapigwa subiri Mwaka upite uone ungaMimi wakati nilishauriwa na fundi kununua mbao ambazo hazina dawa baadae nikanunua dawa inaitwa tusker niliuziwa lita Moja sh 60,000/= halafu wakazitibu. Sasa sijui ni sawa nzuri au nilipigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi Wafanyabiashara wana ushenzi wa kuivisha ndizi kwa umeme, yani unakula ndizi zikiwa zimeiva lakini hazina harufu halisi za kunukia zaidi ya ladha ya uchanga changa sababu zilikuwa hazijaiva kwa wakati isipokuwa zimelazimishwa kuiva kwa umeme kabla ya wakati wake halisi.Huu sio utapeli bali ni ushenzi na kujiweka katika moja ya nchi masikini duniani
Sisi kupanda chart hatuwezi kabisa
Majirani wanatupita kwa mengi sana
Hamuwezi kufika popote kwa ujinga huu na wala sio ujanja
Serikali inajitahidi kutuma watu ila nao wanahongwa na kurudi mifuko imetuna
Tuache hilo, nimenunua makopo ya Kahawa Africafe ambapo ile ya zamani yaani ukiifunua mfuniko tu harufu unaikubali
Nimechukua makopo 6 na kusafiri nayo nikitegemea ni zile kahawa nazijua Lahaulaaaa nimeipigwa
Yaani haina harufu kabisa ya kahawa na nimezitupa zote
Swali je soko lenu mnafurahia liwe hivyo? Na je wahusika wanasemaje kuhusu hilo?
Mnategemea kweli kupata fedha za kigeni kwa mtindo huu? Au mnapenda kuwa mnalipishwa makodi ya ajabu ajabu kisa hela hakuna Serikalini na hakuna dollars za nje ?
Kwa ujinga huu acha mdaiwe mpaka kodi za magorofa
Mimi wakati nilishauriwa na fundi kununua mbao ambazo hazina dawa baadae nikanunua dawa inaitwa tusker niliuziwa lita Moja sh 60,000/= halafu wakazitibu. Sasa sijui ni sawa nzuri au nilipigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiongee kitu usichokijua.Sasa hivi Wafanyabiashara wana ushenzi wa kuivisha ndizi kwa umeme, yani unakula ndizi zikiwa zimeiva lakini hazina harufu halisi za kunukia zaidi ya ladha ya uchanga changa sababu zilikuwa hazijaiva kwa wakati isipokuwa zimelazimishwa kuiva kwa umeme kabla ya wakati wake halisi.
Bongo si salama kwa afya za Binadamu kabisa kidunia maana si kwa laana hizi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hii kali aiseeSasa hivi Wafanyabiashara wana ushenzi wa kuivisha ndizi kwa umeme, yani unakula ndizi zikiwa zimeiva lakini hazina harufu halisi za kunukia zaidi ya ladha ya uchanga changa sababu zilikuwa hazijaiva kwa wakati isipokuwa zimelazimishwa kuiva kwa umeme kabla ya wakati wake halisi.
Bongo si salama kwa afya za Binadamu kabisa kidunia maana si kwa laana hizi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Duh!...hii kaliSasa hivi Wafanyabiashara wana ushenzi wa kuivisha ndizi kwa umeme, yani unakula ndizi zikiwa zimeiva lakini hazina harufu halisi za kunukia zaidi ya ladha ya uchanga changa sababu zilikuwa hazijaiva kwa wakati isipokuwa zimelazimishwa kuiva kwa umeme kabla ya wakati wake halisi.
Bongo si salama kwa afya za Binadamu kabisa kidunia maana si kwa laana hizi.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app