Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

Tembelea maeneo ya stendi ya mbezi, zinakopaki gari zakwenda goms,, zipo mashine hizo kama incubator lkn ni maalum Kwa ndizi!
pale pembeni ya kituo cha Magufuli?
Nonetheless pale chini nadhani, haya tueleze zinaivisha ndizi kwa masaa mangapi?
 
Wacha ubishi
Banana ripening chamber ,katafute maelezo mwenyewe huko ,unachosha watu Kwa ubishi na ujuaji
Wewe huna tofauti na hao. Wabongo wana ujinga mwingi sana wa kushikilia ya kusikia.
Ukiwauliza hawana fact hata moja. Kisa alisikia tu,
Kwanini nikasearch wakati ninyi mnataarifa?
Ujuaji fyoko fyoko......mimi nacheza na ndizi kila siku na kwa kiasi fulani nailisha sehemu ya soko la Dar....hakuna njia ya kuivisha ndizi nisiyoijua. Na huko mitaani kuna wapuuzi kama ninyi wenye taarifa siziso na fact kama hizo. Mkiambiwa elezeni mnakunya kunya......
 
Uko sawa mm pia nimenunua kwa kijana wa SAOHILL. Bei ndio iyo iyo tu. Nusu lita ya dawa unaweka ndoo 15 za maji.Nimetumia NUSU tu. Dawa iliyo changanywa Baada ya kutumia ikabakia kama DUMU 3 nikaweka kwenye MSINGI wa nyumba kuzungushia kwa ndani ili kuzibiti mchwa. Ninavyo ongea hv hapo kwangu ni HISTORY tu kuhusu mchwa kisha kabisa. Mpk raha
Tusanue mkuu, inauzwa wapi hii dawa tujitose?
 
Mimi wakati nilishauriwa na fundi kununua mbao ambazo hazina dawa baadae nikanunua dawa inaitwa tusker niliuziwa lita Moja sh 60,000/= halafu wakazitibu. Sasa sijui ni sawa nzuri au nilipigwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii tusker iko wapi mkuu na unapaka kabla au baada ya kupaua, embu naomba namba za fundi asee kama ni wa hapa daslam. Shukrani kwa elimu!
 
Hiyo dawa unaipaka baada ya kununua mbao na kabla hujaziweka juu.
Ukienda Kwa wauza mbao ukiwaelezea watakuelewa tu.
Hii tusker iko wapi mkuu na unapaka kabla au baada ya kupaua, embu naomba namba za fundi asee kama ni wa hapa daslam. Shukrani kwa elimu
 
Back
Top Bottom