Umepiga ‘Kenchi’ kweli, au Umepigwa? Hivi ndivyo Wateja wa Mbao wanavyotapeliwa Mitaani

Sasa tufanyeje mkuu maana ata madaktari wanasema ule matunda
 
Ndugu usikurupukie usilolijua.

Kuna ndizi zinaivishwa kwa umeme na wachina.
Wapi? Tueleze sehemu moja tu hapa Tanzania wanakoivisha ndizi wachina.

Swali langu la msingi hujalijibu. Umeme unaivishaje ndizi?
 
Daaaah halafu umenifumbua macho Ile dawa iliyobaki sikuichukua nami nijaze kwenye madumu nikamwage kwangu. Washenzi wale nahisi walichekelea sana kuiacha dawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwamba ukinunua mbao, paka oil chafu mwenyewe.
Tena ni dawa nzuri
 
TBS bure kabisa sijui inafaida gani bidhaa fake nyingi mno, tayari malalamiko yametolewa unasubiri vipi hadi mtu aje ofisini kutengo cha malalamiko tena kwanini usifanyie kazi taarifa ulizonazo??? Ikiwa eneo limeshaainishwa
 
Wapi? Tueleze sehemu moja tu hapa Tanzania wanakoivisha ndizi wachina.

Swali langu la msingi hujalijibu. Umeme unaivishaje ndizi?
Tembelea maeneo ya stendi ya mbezi, zinakopaki gari zakwenda goms,, zipo mashine hizo kama incubator lkn ni maalum Kwa ndizi!
 
Wapi? Tueleze sehemu moja tu hapa Tanzania wanakoivisha ndizi wachina.

Swali langu la msingi hujalijibu. Umeme unaivishaje ndizi?
Wanaivishia Tegeta
 
Kuna wale tulikotoka wanatumia oil chafu nayo husaidia , japo wadudu wa siku hizi nao ni kama wameshtukia
 
Wazee nimerudi kwenye hii mada

Utajuaje kuwa mbao ulizonunua zimepakwa rangi ya ukindu na Wala sio tanalith C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…