Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

Umepitia changamoto week moja tu kwenye biashara yako toka uianzishe umeshakata tamaa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Ndugu zangu, biashara ni mchakato mrefu sana, nina shuhuda za baadhi ya ndugu jamaa na marafiki kuanza biashara kwa pupa kisha kuangukia pua.

Mtu ana m10 yote anaitia kwenye biashara, matarajio yanakuwa makubwa sana kwa kipindi kifupi, kwenye hiyo biashara ambayo bado ni changa sana, ndio anategemea kula, kodi ya nyumba/ fremu, kusomesha watoto etc.

Matarajio haya baada ya week tu hakuna wateja na kazika 10m pale anakata tamaa, malamiko yanaanza biashara ngumu guys week tu unataka faida?

Kama hauna network ya biashara yako ni bora ukaanza kidogo kidogo, kwenye hiyo ten million wekeza hata 4m, sita iwe akiba kisha ikuze biashara kidogo kidogo huku ukisoma mchezo, na kuunda mtandao wako.

Ikuwezekana kwa kipindi cha mwaka mmoja faida usiiguse kabisa kwenye mahitaji yako ya kawaida, acha faida iikuze biashara yako taratibu, uvumulivu, subra, juhudi, ubahili ni vitu muhimu sana kwenye biashara.
 
Sawa mkuu,Yaan amejaribu tisheti na anajua kabisa halitamtosha….ona kalitatua…niliacha sikuhiyohiyo kuzungusha mitumba masaloon🙌🏾🙄
 
Dah! Umenikumbisha dada mmoja pale tegeta kibo ana nyashi hatari shughuli yake rasmi inayomuingizia kipato ni kujiuza Sasa akaona ajiongeze afungue Banda la mama ntilie akafungua kweli siku ya kwanza hakuna mteja hata mmoja siku ya pili kafunga biashara.
 
Back
Top Bottom