Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo? Kwanza haukuwa na haja hata ya kuzungumzia Hilo ila ngoja na sisi tujaribu kuongezea Kuni Ili ugali uive tuone kama tutashiba!!