Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Mtetezi hebu tulia bas, mtoa mada ataleta ushahidi!!Acha maneno weka ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtetezi hebu tulia bas, mtoa mada ataleta ushahidi!!Acha maneno weka ushahidi
Mdogo mdogo ya sirini yatakuwa bayana..!Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo? Kwanza haukuwa na haja hata ya kuzungumzia Hilo ila ngoja na sisi tujaribu kuongezea Kuni Ili ugali uive tuone kama tutashiba!!
Kuna shida nchi ikiwa na maraia masen.ge kama weweKuna shida gani ikiwa Waziri anamiliki kkampuni kubwa ya ndege ila ameipata kihalali?
Mwaga evidence.Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo? Kwanza haukuwa na haja hata ya kuzungumzia Hilo ila ngoja na sisi tujaribu kuongezea Kuni Ili ugali uive tuone kama tutashiba!!
Dah!
Usishangae mkuu.Huyu jamaa anajidai kakulia maisha ya shida eti kuku robo amejua akiwa serikalini anasema paja LA kuku waligawana watoto saba kweli ? sasa mbona plan zake zote za kumnyonya mnyonge
Ni kweli mkuu watu huwa ni wapumbavu Sana.Kipindi cha Kikwete kila mali ilikua ya Ridhiwan. Take story za wabongo with a grain of salt.
🤣NAMPA MWIGULU NCHEMBA MASAA 24 ajitokeze hadharani kukiri kuwa ana kampuni ya mabasi anayomiliki kabla sijamwaga ushahidi hapa. Period!
viletwe tu hivyo vielelezo, kukana wakati ni vyake kwamaana hiyo hajaipata kihalaliNimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo? Kwanza haukuwa na haja hata ya kuzungumzia Hilo ila ngoja na sisi tujaribu kuongezea Kuni Ili ugali uive tuone kama tutashiba!!
Hiyo kampuni imepatika baada ya kuwa waziri sioKuna shida gani ikiwa Waziri anamiliki kkampuni kubwa ya ndege ila ameipata kihalali?
Inawezekana jamaa alikuwa mwanakijiji ila mbona kasahau shida za wanyonge
Hakuna Mangi Mpumbavu hivyo huyu ( huyo ) ni Mnyiramba kutokea Mkoani Singida.Huyu mangi haisee zarau zimemzidi anasema wananchii ndoo tulimtuma aweke matozo.Hii kauri bado inathibitisha pasinashaka kuwa ana PhD ya kiburi.
Ana Waganga wa Kienyeji zaidi ya Saba ( 7 ) kwanini asiringe na asijiamini? Bi. Chifu Tozo Mwenyewe ameshawekwa Kiganjani mwake na kila akiwaza Kumtumbua anajikuta anamsahau tu.Nimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo? Kwanza haukuwa na haja hata ya kuzungumzia Hilo ila ngoja na sisi tujaribu kuongezea Kuni Ili ugali uive tuone kama tutashiba!!
Wabongo bwana hatari sanaKipindi cha Kikwete kila mali ilikua ya Ridhiwan. Take story za wabongo with a grain of salt.