Tungekuwa na Waziri Mkuu mkali huyu sahivi asingekuwepoNimemsikia mangi wa iramba , anasema Hana hata kampuni ya bajaji ....kuwa na biashara au kampuni sio kosa ikiwa ni halali...wabunge wengi tu Wana makampuni ya magari na viwanda halali na wanalipa Kodi ..sio kosa ila unapokataa kisiasa unatutia mashaka uko tayari endapo watu wakamwaga vielelezo? Kwanza haukuwa na haja hata ya kuzungumzia Hilo ila ngoja na sisi tujaribu kuongezea Kuni Ili ugali uive tuone kama tutashiba!!
Kama ChebukatiWekeni tu hapa tum screen
We leta tu ushahidi...acha mikwara...shusha nondo kesho atakuwa huko kwao analimaNAMPA MWIGULU NCHEMBA MASAA 24 ajitokeze hadharani kukiri kuwa ana kampuni ya mabasi anayomiliki kabla sijamwaga ushahidi hapa. Period!