Umesema Hauna kampuni hata ya bajaji una uhakika? Vikimwagwa vielelezo usianze kulialia...

Mdogo mdogo ya sirini yatakuwa bayana..!
 
Mwaga evidence.
 
Huyu jamaa anajidai kakulia maisha ya shida eti kuku robo amejua akiwa serikalini anasema paja LA kuku waligawana watoto saba kweli ? sasa mbona plan zake zote za kumnyonya mnyonge
Usishangae mkuu.

Huyu atakuwa wale jamaa wepesi kusahau walipotoka baada ya kufanikiwa.
 
viletwe tu hivyo vielelezo, kukana wakati ni vyake kwamaana hiyo hajaipata kihalali
 
Hii inji inawakuda kwa wingi si Bure,mtu anakurupuka anapinga hushahidi hana alimradi tuh achafue Hali ya hewa Kwa kutyp ushuzi
 
Huyu mangi haisee zarau zimemzidi anasema wananchii ndoo tulimtuma aweke matozo.Hii kauri bado inathibitisha pasinashaka kuwa ana PhD ya kiburi.
Hakuna Mangi Mpumbavu hivyo huyu ( huyo ) ni Mnyiramba kutokea Mkoani Singida.
 
Ana Waganga wa Kienyeji zaidi ya Saba ( 7 ) kwanini asiringe na asijiamini? Bi. Chifu Tozo Mwenyewe ameshawekwa Kiganjani mwake na kila akiwaza Kumtumbua anajikuta anamsahau tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…