Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

Ka Ushakutana na shida yoyote kwenye gari yako ikakutatiza share Hapa Usaidiwe
Siku gari yangu inaenda kupata ajali iliyo I write off iliniambia na mimi na upumbavu wangu sikuielewa ile lugha.

2010 tuko Brajeck tumemaliza kula na kunywa, mshikaji ananiambia twende tumpeleke msichana wake na rafiki yake Tegeta.

Naingia ndani ya gari, na engage gear, gari ikagoma kwenda. Baada ya dakika mbili likakubali, najiuliza hiki ni nini kimetokea?

Tukaenda Tegeta, tukawaacha wale warembo, tukiwa tunarudi tukagongwa na gari ingine, gari ikaharibika beyond repair.

Baada ya ajali ndipo nikaelewa, gari ilikuwa I anikataza nisiende kwenye hiyo safari.
 
Sports Car nyingi zina kasumba hii kaka.
Ukishika uskani mikono inatikiswa utadhan umeingia kwenye 18 za Mwakinyo. Naona aibu hata kumuuzia mtu huo msala heri itulie vijana wakikua watajua cha kuifanya.
Una hakika wamekufungia mounting za dukani? Kama ni zile mounting za kuchongea Sendeu/Katambuga/Mgogo lazma gari itetemeke tu. Hazina softness ya ku absorb mtetemo wa engine
 
Nikiwasha ac nitatembea baada ya muda gari itajizima, haitowaka mpaka battery icchajiwe.
Kuhusu battery nishaipima sehemu tofauti haina shida, why nikiwasha ac inajizima?
Kuna fundi alisema alibadilisha jino la altenator, na akasema alternator haina, mwingine akasema alternator haina shida.
kuna mmoja akabadilisha kifaa sikumbuki jina.

Hii ni mara nyingi mafundi washanilia hela sana.
Nimeipaki, siku ikinilazimu kutumia inabidi nisshushe vioo.
Nawaza mvua zikianza itakuwaje?
Maana mwenyewe kinanisave hatari kwenye mafuta.
Nikiwa na 10,000 nauhakika wa kwenda na kurudi.
Ila kuna jini hapa mpaka nitoke niwe na 30,000.
 
Probably charging circuit ya hiyo gari ina tatizo.
 
Siku gari yangu inaenda kupata ajali iliyo I write off iliniambia na mimi na upumbavu wangu sikuielewa ile lugha.

2010 tuko Brajeck tumemaliza kula na kunywa, mshikaji ananiambia twende tumpeleke msichana wake na rafiki yake Tegeta.

Naingia ndani ya gari, na engage gear, gari ikagoma kwenda. Baada ya dakika mbili likakubali, najiuliza hiki ni nini kimetokea?

Tukaenda Tegeta, tukawaacha wale warembo, tukiwa tunarudi tukagongwa na gari ingine, gari ikaharibika beyond repair.

Baada ya ajali ndipo nikaelewa, gari ilikuwa I anikataza nisiende kwenye hiyo safari.
Voetsek man..
 
Nikiwasha ac nitatembea baada ya muda gari itajizima, haitowaka mpaka battery icchajiwe.
Kuhusu battery nishaipima sehemu tofauti haina shida, why nikiwasha ac inajizima?
Kuna fundi alisema alibadilisha jino la altenator, na akasema alternator haina, mwingine akasema alternator haina shida.
kuna mmoja akabadilisha kifaa sikumbuki jina.

Hii ni mara nyingi mafundi washanilia hela sana.
Nimeipaki, siku ikinilazimu kutumia inabidi nisshushe vioo.
Nawaza mvua zikianza itakuwaje?
Maana mwenyewe kinanisave hatari kwenye mafuta.
Nikiwa na 10,000 nauhakika wa kwenda na kurudi.
Ila kuna jini hapa mpaka nitoke niwe na 30,000.
System ya umeme ina shida na prolly alternator. Vua hio kitu weka ingine utakuja kunishukuru. Najua laki na 80 inakuuma ila lipa hio hela weka alternator ingine. Umeme ukiwa hautoshi au unafuliwa chini ya kiwango ndio shida kama hizo hujitokeza provided battery sio chakavu.
 
Uskan kutetemeka.
Mara Engine Mounting ... hola.
Mara plugs ... hola.
Mara alignment .. hola.
Mara plug wire ... hola.
Kitu kipo bandani kimepaki.
Uskani kutetemeka inamaanisha magurudumu yako out of balance. Hii inatokea unapofunga tairi mpya au tairi zinapoanza kuisha tread. Dawa yake ni kwenda kufanya kitu kinaitwa wheel balance. Ukifanya wheel balance njoo utupe mrejesho. Tatizo litaisha kabisa.

Mafundi wengi hutengeneza magari kwa kubahatisha. Mf. Aliyekwambia kuwa mtetemeko wa uskani husababishwa na engine mounting, plugs, plug wire, alignment n.k siyo fundi huyo, atakuaribia gari. Kafanye wheel balance halafu rudi unishukuru.
 
Back
Top Bottom