Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mkanda umelegea tu,fundi aukaze simple tu.
Perfect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkanda umelegea tu,fundi aukaze simple tu.
Unao uhakika na alichoandika?Nikitembea km350+ wakat fuel inaend robo tank taa ya oil inawaka na Gari inakosa nguvu huw naipak pembn nkuchek oil ipo nikiwash naendelea na safar vzr tuu
Premio x
2005
Cc1790
Taa ya oil sio ya kuipuuzia.Nikitembea km350+ wakat fuel inaend robo tank taa ya oil inawaka na Gari inakosa nguvu huw naipak pembn nkuchek oil ipo nikiwash naendelea na safar vzr tuu
Premio x
2005
Cc1790
Gari ilikuwa inatoa mlio wa kuvuma sikujua unatokea wapi lkn ilikuwa sio kwenye Engine, nikaenda kwa fundi wangu akachek tair zote akabaini kumbe bearing za tair za mbele zilikuwa zimechoka.....nikabadili ikaa poa kbs. Asante fundi HamisKa Ushakutana na shida yoyote kwenye gari yako ikakutatiza share Hapa Usaidiwe
Ka Ushakutana na shida yoyote kwenye gari yako ikakutatiza share Hapa Usaidiwe
Hiyo itakuwaspedomita inasoma vizuri na trip a na trip b zinasoma vizuri lakini klm za kutoka na gari hazisomi zimesimamia mahali moja.nini ta
imefanyiwa odometer rollback.spedomita inasoma vizuri na trip a na trip b zinasoma vizuri lakini klm za kutoka na gari hazisomi zimesimamia mahali moja.nini tatizo.ni alfard
Hilo jini bila shaka engine yake inaanzia 2000 CC nakuendelea [emoji1787][emoji1787]Nikiwasha ac nitatembea baada ya muda gari itajizima, haitowaka mpaka battery icchajiwe.
Kuhusu battery nishaipima sehemu tofauti haina shida, why nikiwasha ac inajizima?
Kuna fundi alisema alibadilisha jino la altenator, na akasema alternator haina, mwingine akasema alternator haina shida.
kuna mmoja akabadilisha kifaa sikumbuki jina.
Hii ni mara nyingi mafundi washanilia hela sana.
Nimeipaki, siku ikinilazimu kutumia inabidi nisshushe vioo.
Nawaza mvua zikianza itakuwaje?
Maana mwenyewe kinanisave hatari kwenye mafuta.
Nikiwa na 10,000 nauhakika wa kwenda na kurudi.
Ila kuna jini hapa mpaka nitoke niwe na 30,000.
Uko sahihi kabisa.Hilo jini bila shaka engine yake inaanzia 2000 CC nakuendelea [emoji1787][emoji1787]
Kwa ufahamu wangu gari ikiwashwa silenser inakuwa normal ila ukiiongezea mzigo kwa kuwasha A.C bc silenser inaongezeka ili kuongeza ufanisi wa charging systemNikiwasha ac nitatembea baada ya muda gari itajizima, haitowaka mpaka battery icchajiwe.
Kuhusu battery nishaipima sehemu tofauti haina shida, why nikiwasha ac inajizima?
Kuna fundi alisema alibadilisha jino la altenator, na akasema alternator haina, mwingine akasema alternator haina shida.
kuna mmoja akabadilisha kifaa sikumbuki jina.
Hii ni mara nyingi mafundi washanilia hela sana.
Nimeipaki, siku ikinilazimu kutumia inabidi nisshushe vioo.
Nawaza mvua zikianza itakuwaje?
Maana mwenyewe kinanisave hatari kwenye mafuta.
Nikiwa na 10,000 nauhakika wa kwenda na kurudi.
Ila kuna jini hapa mpaka nitoke niwe na 30,000.
Mkuu hv kuna tofauti kati ya wheel balance na wheel alignment?Uskani kutetemeka inamaanisha magurudumu yako out of balance. Hii inatokea unapofunga tairi mpya au tairi zinapoanza kuisha tread. Dawa yake ni kwenda kufanya kitu kinaitwa wheel balance. Ukifanya wheel balance njoo utupe mrejesho. Tatizo litaisha kabisa.
Mafundi wengi hutengeneza magari kwa kubahatisha. Mf. Aliyekwambia kuwa mtetemeko wa uskani husababishwa na engine mounting, plugs, plug wire, alignment n.k siyo fundi huyo, atakuaribia gari. Kafanye wheel balance halafu rudi unishukuru.
Pima abs sensor mkuuTaa ya ABS inawaka na speedometer wakat mwingine haitembei. Gari ni Carina. Tatizo inaweza kuwa nini mkuu
Mashine ya kufungua hiyo, hapo imekata piston rings, block imetanuka au imechimba.nina nissani teana shida yake kubwa ikiwa inatembea Oil inaleak kwenye engine na pia ikiwa on ukichomoa ile stick ya kupima Oil kuna presha kubwa inatoka na Oil inaruka unaweza kuchafuka uso mzima
hii shida yake ni nn?
Wheel alignment ni uwekaji (setting) wa matairi katika ufanyakazi wa urari. Kama tairi haziko katika urari (alignment) ukinyoosha uskani gari itaenda kushoto au kulia. Kwa ufupi wheel alignment inahusiana naMkuu hv kuna tofauti kati ya wheel balance na wheel alignment?
Naomba kujua![]()
wheel alignment inahusiana na suspension ya gari hasa sehemu zinazoshikilia tairi. Hivyo unapofanya wheel alignment tairi haiguswi.Mkuu hv kuna tofauti kati ya wheel balance na wheel alignment?
Naomba kujua [emoji848]
Clear code tu inshu inaishaNikiwasha gari ABS na taa ya handbreak inawaka muda wote,fundi aliniambia miguu ya mbele lazma itakua na hitilafu hapo ni baada ya kukagua switch,mafuta ya break,break pads kote fresh tairi mpya kabisa zina wiki 2, nikafungua miguu ya mbele ni kweli nilikuta Bering zimekufa nimebadilisha zote but shida ya taa ya ABS na handbreak kuwaka inaendelea fundi hana majibu anataka azizime kihuni nikamkatalia,nipe maujuzi boss,Ndinga ni Premio X.
Ni nini hii?Clear code tu inshu inaisha