Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Aise kwa hiyo unapenda mwanaume anaeongea kama cherehani, mnapoona tupo kimya mjue tunawaza ni kwa namna gani tutapata pesa ili mfurahie maisha..

Kumbe ikitokea tuko katika mahusiano hatutodumu kabisa, maana mimi ni zaidi ya mkimya...

😂😂😂 kwani unampango wa kuwa na mahusiano na mimi mkuu? No sio ukimya unaoufikiria, huyu ye alikuwa haongei kabisa na mimi, ndio maana nasema ajabu ni kwamba kwa wenzie anaongea vizuri kabisa anapiga stori kama kawaida.

nafikiri hakuna mwanamke anayependa ME anayeongea kama cherehani, huyu wangu alikuwa beyond normal.
 
Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
U are so genius......
Kwenye relationship malengo ya kuendelea mbele zaidi yanatakiwa yaletwe/yaje na namna mnavyo bond na kuweza kuvuliana kwenye situation tofauti2/over times...

Relationship are about sacrificing for both parties, Ila Kuna ukomo wa ku sacraficy kwa Kila binadamu....

Ndo maana huwa nashangaa Sana nikiona nyuzi kuwa mtu ana tafuta mume/mke waone straight,
 
Hahah inaweza tokea pia Madame, anyway wanaume huwa tunaongea kiasi tu, cha msingi zaidi ni kutoruhusu mpenzi wako akjisike kama vile unam ignore. Maana wengi wenu mkiona hatuongei sana mnaanza hisi vitu vya ajabu kuwa huwenda kuna mtu anatuweka busy hadi inafikia sehemu tukifika nyumbani tunakuwa hatuna story nyingi..
 
Daaah, nawewe unazidi kugongelea msumari kwenye kidonda kibichi badala hata utoe polee[emoji30] ,mi nakua najiona nimetokelezea fresh tu eti
 
ubabe wa mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.

Mwingine aliomba ndogo na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano.

Ubinafsi wa yule mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulijuaje mama, Tanga moja nikajua enhee' hapa mapenzi si ndo nimeyapatia weeh'..!! Nilimmiss msukuma wangu.!!
[emoji4][emoji4][emoji4]
Ila wanaume wa pwani wanayajuaaaaa....

Na wasukuma wanajua kusimamia ukucha[emoji3][emoji3]
 
Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
Wengine wa hapa hapa sijui wanataka kutupeleka wapi
 
ubabe wa mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.

Mwingine aliomba ndogo na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano.

Ubinafsi wa yule mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
Me mwanaume akinitongoza wala sikatai ,ila nakuwa sina mpango wa kwenda nae popote ni vizinga kwa kwenda mbele,no papuchi no love sms .namdai kama tala vile
 
Me mwanaume akinitongoza wala sikatai ,ila nakuwa sina mpango wa kwenda nae popote ni vizinga kwa kwenda mbele,no papuchi no love sms .namdai kama tala vile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
Me mwanaume akinitongoza wala sikatai ,ila nakuwa sina mpango wa kwenda nae popote ni vizinga kwa kwenda mbele,no papuchi no love sms .namdai kama tala vile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ubabe wa mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.

Mwingine aliomba ndogo na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano.

Ubinafsi wa yule mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
Hiyo ya pili ulifanya very GOOD DECISION.
Mtu akikuomba ndogo, hiyo ni dalili ya wazi kuwa hamtafika popote. Wanawake wajinga wanatoa ndogo eti kulinda penzi na wakati hakuna mwanaymr yoyote anayeoa mwanamke anayepigwa ndogo hata kama yeye ndiye kamuanzishia.

WEWE NI MWANAMKE BORA NA WAKUJIVUNIA KWA MUMEO ULIYENAYE/ UTAKAYEKUWA NAYE.
 
Huo inaitwa uzembe wa 5G
 
eeeh?
 
Eti kubeti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una bahati gani we jmni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…